JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu picha kidogo tu itapendeza
ganja haramu kwa mujibu wa nchi ila halali kwangu, so sitaipost, kwahyo hamna pic na muziki upo unasikika, otherwise nitume video and its incovenient.
IMG_20200620_030915.jpeg
 
Ahsante sana.
Nilikuta nataka kuona oicha ya ganja na valeur kwa pamoja.

Nimeelewa.

Huo mchanganyiko si mchezo [emoji932][emoji932]
mkuu jf is never a safe place... siwezi post pic ya kitu hakiruhusiwi huenda kikaja tumika as evidence huko mbele, watu wana uwezo wa kijasusi, ndo mana kuna umbea wako hujawahi kuuskia sehemu ila unajua watu hawajui teh teh.

majasusi= wambea. soo equivalent.
 
Nimekuelewa sana na nilikuwa nakuzingua tu.. Embu nipe huo umbea hata pm basi.
Maana jf ndo sehemu pekee ambayo watu wanakujua kuliko unavojijua.
Unaweza wakuta wanajadili na wewe ukachangia kumbe ndo muhusika mkuu.
 
Back
Top Bottom