Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ulichotaka vyote nimekuonesha lakini hii picha unayotaka utapofuka macho gal [emoji23][emoji23][emoji23]Uchoyo tu
Ulichotaka vyote nimekuonesha lakini hii picha unayotaka utapofuka macho gal [emoji23][emoji23][emoji23]Uchoyo tu
Hivi unafikiri kuna binadamu anayependa shida? Ni vile maisha hayako poa. Ila kila mtu angekuwa anatumia vitu vilivyorahisishwa.Acheni uvivu
Raha ya ugali, usongwe.
Happy birthday @chiquitittaWalinzi wenzangu June 18 mrembo alizaliwa happy birthday chiqutitta
Kisa?Ulichotaka vyote nimekuonesha lakini hii picha unayotaka utapofuka macho gal [emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu wangu akutunze ❤Walinzi wenzangu June 18 mrembo alizaliwa happy birthday chiqutitta
[emoji482][emoji482][emoji482] hiyo ndio mwake kwa siku yako hii muhimu. HBD chiqutitta. Nakuomba yote yenye heri katika maisha yako.Walinzi wenzangu June 18 mrembo alizaliwa happy birthday chiqutitta
Ni sawa, ila sio kwa ugali jamaniHivi unafikiri kuna binadamu anayependa shida? Ni vile maisha hayako poa. Ila kila mtu angekuwa anatumia vitu vilivyorahisishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Match inakaribia kuanza
Nazi njemaTime to sign out..
Kwani hiyo pia si inasonga!Acheni uvivu
Raha ya ugali, usongwe.
Wabheja sanaNazi njema
Hahaha,sina link yoyote mkuu,ndio nauliza hapa,ukipata tujuzane
Haisongi kama vile inatakiwa wewe usongeKwani hiyo pia si inasonga!
Unajua sio ukishua wala nini,sema mwanaume kuzungusha mwiko sio ishu kabisa,inabidi twende sambamba na teknolojia.Watoto wakishua mna tabu sana