Ndio chama hilo acha tu kesho sijui nitaambia nn watu maana jioni saa 1 usiku nimepiga sana kelele kwa wahuni [emoji17] alafu mambo ndio kama hivi cap kubwa.
Kabisa timu kamwe hatuiachi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona unataka kutembea na fursa [emoji119][emoji91]Kabisa timu kamwe hatuiachi.
Wadada mkuje kwa sisi washabiki wa arsenal ni wavumilivu sana
Moyo nimeushikilia mkononi, [emoji16]Hiyo team itakufanya uchukia mpira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu hill liko wazi sisi ni wavumilivu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona unataka kutembea na fursa [emoji119][emoji91]
Jiangalie isijekuwa umelishwa limbwata la Arsenal.
arsemal n Gunia la misumari lenye slesi mbili za mkate ndani. Kulibeba inaitaji moyo mkubwa.Kabisa timu kamwe hatuiachi.
Wadada mkuje kwa sisi washabiki wa arsenal ni wavumilivu sana
Hakika lakini mashabiki wa Liverpool ndio wavumilivu zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hill liko wazi sisi ni wavumilivu sana
Alert kubwa ni makundini WhatsApp mkuu.Rais wa twitter anasemaje?
Ooh furaha ya kuzaliwa gal Mungu akubariki na akufanikishie kila uliombalo kwake uishi maisha marefu tuzidi kukuona kila siku ukiwa na furaha tele kwenye maisha yako ya duniani hapa [emoji323][emoji322][emoji324][emoji312][emoji313][emoji320][emoji3531]Walinzi wenzangu June 18 mrembo alizaliwa happy birthday chiqutitta
Happy happy birthdayWalinzi wenzangu June 18 mrembo alizaliwa happy birthday chiqutitta
Happy birthday to you.Walinzi wenzangu June 18 mrembo alizaliwa happy birthday chiqutitta
Jamaa ana wafuasi kibao walahi[emoji28] siku moja nipo kwenye bus naona dingi mtu mzima kweli kweli kila baada ya muda kidogo anaingia kwenye page ya jamaa na atachokikuta ana nakili sehemu.[emoji38]naingia kumsaka kigogo na habari zake zakutisha pia halafu natembea