Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Kwanza Tai yenye nilimuona jux kavaa na mm nikaitafuta hiyo hiyo nikapata nayo kwenye huo usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi kunichota ukaiyona hiyo picha alafu mbaya zaidi sikuwahi post kokote hapa ndio mara ya kwanza nimepost huwa napost nikivaa matrack na Jeans tu.Kama nakuona vile...
Napenda sana mtu akipendeza, sio mchoyo wa kusifia kabisa...tupia dogo nikusifie [emoji23][emoji23][emoji23]