Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,584
- 53,337
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Sema buda mbishi wewe, huwa unakaaga mlangoni unasubiri ufunge mlangoMuda bado kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Sema buda mbishi wewe, huwa unakaaga mlangoni unasubiri ufunge mlangoMuda bado kidogo
Mimi ndio mfungaji wa milango, wewe shida yako unataka ukimbie lindo,ulale mapema[emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Sema buda mbishi wewe, huwa unakaaga mlangoni unasubiri ufunge mlango
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina noma. Ningepata jina lake la kitaalam hiyo kazi hesabu imeisha.Hahaha,sina link yoyote mkuu,ndio nauliza hapa,ukipata tujuzane
Aiseee[emoji39]Match inakaribia kuanza
Nilichomoka nimerudi[emoji38][emoji38]sijakuzidi wewe
Inaitwa ugali cookerHaina noma. Ningepata jina lake la kitaalam hiyo kazi hesabu imeisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hao watengenezaji wanaujua ugali?Inaitwa ugali cooker
Lazima watakuwa wanaujua,kama huamini ingia Google search ugali cooker[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hao watengenezaji wanaujua ugali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesearch nimeona. Hii itakuwa ya wachina. Maana Ebay haipo.Lazima watakuwa wanaujua,kama huamini ingia Google search ugali cooker
Hao ni wachina tu.
Kuipata kwake labda kwenye site za wachina. Ebay au Amazon hazipoHao ni wachina tu.
Kuna jamaa ameniambia bongo pia zipo,ila sijui zinauzwa wapi.Kuipata kwake labda kwenye site za wachina. Ebay au Amazon hazipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kkoo kwenye maduka ya wachina. Hii kitu itakuwa msaada sana.Kuna jamaa ameniambia bongo pia zipo,ila sijui zinauzwa wapi.
NitauliziaLabda kkoo kwenye maduka ya wachina. Hii kitu itakuwa msaada sana.
Sent using Jamii Forums mobile app