Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,276
Ugali cooker 😂😂 noma sana.Tutakununulia rice cooker na ugali cooker,usiwe na wasiwasi.
Msisahau na pressure cooker la makande, mafundi wanatakiwa washibe haswaa
Ugali cooker 😂😂 noma sana.Tutakununulia rice cooker na ugali cooker,usiwe na wasiwasi.
Hahaha,Ugali cookernoma sana.
Msisahau na pressure cooker la makande, mafundi wanatakiwa washibe haswaa
Mambo ni yentee bablai 👍bado na ile suti. At least kafull pic.. 🤗Vidole na track View attachment 1481988
Umefeli hapo no more picsMambo ni yentee bablaibado na ile suti. At least kafull pic..
![]()



Mzee hivi hizi kitu zipo kweli? Maana zitaturahisishia sisi ambao hatuji kupika.Hahaha,
Halafu nje ya mada,wapi naweza kupata ugali cooker kwa dar.
Shida ni kushika mwiko au? 😂Hahaha,
Halafu nje ya mada,wapi naweza kupata ugali cooker kwa dar.
Kwani bei gani hii kitu?
Zipo 😂😂😂Mzee hivi hizi kitu zipo kweli? Maana zitaturahisishia sisi ambao hatuji kupika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo basiUmefeli hapo no more pics![]()
Hii kitu naitafuta kinoma. Inatumia jina gani niitafute Ebay.
Hizo hazi postiwagi kokote.Acha hizo basi
Moja ya mwisho tu...
Hizo hazi postiwagi kokote.
Naitafuta kinoma hii kitu. Nipe link nifanye mchakato wa kuagiza.Zipo![]()
Zipo mkuu,hela yako tuMzee hivi hizi kitu zipo kweli? Maana zitaturahisishia sisi ambao hatuji kupika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni uvivuZipo mkuu,hela yako tu
Una link mkuu. Nina miezi kama 8 hivi sijala ugali.Zipo mkuu,hela yako tu
Watoto wakishua mna tabu sanaShida mwiko ndio![]()