Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Vp baridi umeitafutia suluhu?Ni kugangamalaaaaaaa tu mkuu[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp baridi umeitafutia suluhu?Ni kugangamalaaaaaaa tu mkuu[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Amna hapo ndio unazileta sasa kuna siku nilifanya balaa kama hilo nikiwa na miaka 12 acha tu siwezi kusahau tukio lile [emoji23][emoji23].Sure itakulinda japo kuna wakati unaweza pishana na fursa watu wakikuogopa[emoji28]
Huko Matombo? Hebu baelezee ilikuwaje mzee?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Amna hapo ndio unazileta sasa kuna siku nilifanya balaa kama hilo nikiwa na miaka 12 acha tu siwezi kusahau tukio lile [emoji23][emoji23].
Matombo!? Nilialikwa bhana na bi mkubwa fulani ilikuwa sherehe ya Ekaristi hizi mm nikamwambia nitakuja akasema haya, Basi mm nikawa nimevaa T-shirt na Jeans nafika pale akaniambia sasa ndio umevaaje hivyo rudi kavae vizuri bhana utakuwa huingia hapa basi ikanilazimu nirudi nikachange wakati huo nilikuwa na suit ya kitambaa nyeusi ambayo imepita na mistari meupe ndio suit iliyokuwa inatamba wakati huo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo suti sio mchele mchele kweli?Matombo!? Nilialikwa bhana na bi mkubwa fulani ilikuwa sherehe ya Ekaristi hizi mm nikamwambia nitakuja akasema haya, Basi mm nikawa nimevaa T-shirt na Jeans nafika pale akaniambia sasa ndio umevaaje hivyo rudi kavae vizuri bhana utakuwa huingia hapa basi ikanilazimu nirudi nikachange wakati huo nilikuwa na suit ya kitambaa nyeusi ambayo imepita na mistari meupe ndio suit iliyokuwa inatamba wakati huo.
Muhuni nikipiga hiyo suit nikaipa na kuzibao, koti na tai juu nilikuwa na bonge ya ngwasuma chini hapo sindio nikaenda bhana kwenye shughuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embwa wee nafika kwenye shughuli watu walijua labda mm ndio mwenye shughuli kwajinsi nilivyo piga vitu vigeregere vingi sana hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu mm sio mwenye shughuli nikabaki na shangaa tu [emoji15] kuna mama akasema jamani huyo sio mwenye shughuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa noma kweli yani nilijisikia ovyo aibu naona mm [emoji17]
We ilikuwa ni bei ghali mm niliilazimsha mpaka mama alinishonea nazani ndio nguo bi mkubwa alinunulia za gharama mno kwa wakati huo nilikuwa nikiingia church na hiyo kitu ilikuwa ni noma napigwa jicho kinoma na kila mtu [emoji91][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo suti sio mchele mchele kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashasusa sijui hata zawadi yangu nitaipata alikuwa ananitafutia sababu
Karibu sanaAsubuhi ndio itapendeza mpaka dinner nitakuwepo [emoji39]
Nawezaje kukususia kwa mfano [emoji23]Kashasusa sijui hata zawadi yangu nitaipata alikuwa ananitafutia sababu
Wee huchelewi nakujua vizuriNawezaje kukususia kwa mfano [emoji23]
Sisi wengine tomaso, tupia hata kapicha ku support your justification. Otherwise, utakuwa unapiga porojo tu.We ilikuwa ni bei ghali mm niliilazimsha mpaka mama alinishonea nazani ndio nguo bi mkubwa alinunulia za gharama mno kwa wakati huo nilikuwa nikiingia church na hiyo kitu ilikuwa ni noma napigwa jicho kinoma na kila mtu [emoji91]
Kama kuna card nipage mapema. Alafu ulemchezo wa kuandika vikaratasi mtu achagu upo? kama upo siji maana unaweza ukatoa hata 50k ikaishia hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Karibu sana
Huyo hakikisha unamkomalia. Otherwise utapigwa much time bila mwendo.Kashasusa sijui hata zawadi yangu nitaipata alikuwa ananitafutia sababu
Gemini huwa hatununi ovyo.Wee huchelewi nakujua vizuri
Huwezi nijaza kirahisi hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]Sisi wengine tomaso, tupia hata kapicha ku support your justification. Otherwise, utakuwa unapiga porojo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
See. Afadhali kama umelitambua hilo. Mwandiko wake tu unasadifu attitude yake.Wee huchelewi nakujua vizuri
Sema unaona so kutupia picha ya mchele mchele hapaHuwezi nijaza kirahisi hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]