JamiiForums Usiku wa manane

Attachments

  • IMG_20200618_024328_622.jpg
    IMG_20200618_024328_622.jpg
    62 KB · Views: 22
Wacha kutufanya sisi mapoyoyo chalii yangu. Umesema suti nyeusi mbona hiyo ya blue kama umetoka kwenye kurekodi wimbo wako mpya wa kwaya mzee.

Kiatu imetulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo suit ni miaka 12 ndio nilivaa nitakuwa nayo mpaka leo mzee wangu

Hiyo suit ya blue ilikuwa ni dressing code inasema suit ya blue na tai ya maroon ndio niliumiza hivyo kwenye hiyo picha hapo ndio nilikuwa nafika nikapata kupiga picha moja ya kumbukumbu
 
Back
Top Bottom