Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Mzee wangu kama offsir wa TRA [emoji91]Ambae hajang'arisha buti asubuhi akija armourer kurejesha silaha mdeki wa supu utamhusuuuuu.View attachment 1481980
Mzee wangu kama offsir wa TRA [emoji91]Ambae hajang'arisha buti asubuhi akija armourer kurejesha silaha mdeki wa supu utamhusuuuuu.View attachment 1481980
Hapana utanifilisi wewe njoo mchana ukija hasubui utakaa hadi mdomo ukukaukeNafika asubuhi kabisa naanza na supu mpaka dinner [emoji23][emoji23].
Umeshaanza uchoyo sasa hatutokuja [emoji17]Hapana utanifilisi wewe njoo mchana ukija hasubui utakaa hadi mdomo ukukauke
Afande mnaaa nahitaji uje smart kurudisha siraha huwezi itunza siraha ukiwa rough.Gwaride la ukaguzi huwa linaanza ndio tunatawanyika kwenda maeneo yetu ya lindo. Wengine sasa hivi tumejaa vumbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh tumepishana mkuu.Kuna mlinzi aliyekuwepo msamvu Moro muda huu? Natokea Dom tukutane hapo
[emoji28][emoji28]nomaaMzee wangu kama offsir wa TRA [emoji91]
Umeanza hivyo hutaniwi! Njoo hata sasa hiviUmeshaanza uchoyo sasa hatutokuja [emoji17]
Umeenda kulala ?Duh tumepishana mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo utakuwa unatuchimba. Unajua kuwa lindo lina mambo mengi. Wengine mida hii wapo gizani huko wanagegedana kwenye mavumbi. Wakija rejesha silaha wananuka janaba. Je utavumilia?Afande mnaaa nahitaji uje smart kurudisha siraha huwezi itunza siraha ukiwa rough.
Nimeenda mkoani mkuu.Umeenda kulala ?
Mbembeleze huyo hakawii kususa.Umeanza hivyo hutaniwi! Njoo hata sasa hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweeeli kazi za majeshiii weeee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo utakuwa unatuchimba. Unajua kuwa lindo lina mambo mengi. Wengine mida hii wapo gizani huko wanagegedana kwenye mavumbi. Wakija rejesha silaha wananuka janaba. Je utavumilia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unapiga cadet na shart ya mikono mirefu mixer na tai unaingia uraiani kuchukua code zako [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]nomaa
We mzee wa kutupia Sana aiseee[emoji28]Hapo unapiga cadet na shart ya mikono mirefu mixer na tai unaingia uraiani kuchukua code zako [emoji23][emoji23]
Asubuhi ndio itapendeza mpaka dinner nitakuwepo [emoji39]Umeanza hivyo hutaniwi! Njoo hata sasa hivi
Inategemea unaingia sehemu gani kuna sehemu unalazimika kufanya balaa kama hilo huna hata 100 lakini unawaka mpaka watu wanakuogopa [emoji23][emoji23][emoji23] wanasema huyu atakuwa Afsa fulani [emoji23][emoji23][emoji23]We mzee wa kutupia Sana aiseee[emoji28]
Utatuvumilia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweeeli kazi za majeshiii weeee...
Sure itakulinda japo kuna wakati unaweza pishana na fursa watu wakikuogopa[emoji28]Inadegemea unaingia sehemu gani kuna sehemu unalazimika kufanya balaa kama hilo huna hata 100 lakini unawaka mpaka watu wanakuogopa [emoji23][emoji23][emoji23] wanasema huyu atakuwa Afsa fulani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kugangamalaaaaaaa tu mkuu[emoji28]