Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
ile Id yako maarufu ipo wapi?Kuna ile Movie ya NSYUKA ukiiangalia mida kama hii inabamba haswa, icheki mchana wala haitishi. Madirector na producers wetu wanakwama wapi?
Hollywood movie kama ni ya kutisha ni inatisha muda wote, icheki mchana, icheki usiku utaanya tu.
