fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,006
All is good with me. Niliadimika kodogoGud niaje champ.
All is good with me. Niliadimika kodogoGud niaje champ.
Yes south african
Tupo tuna shangaa hapa siaz.All is good with me. Niliadimika kodogo
unani furahisha sana ww leo 😆 😆 😆 shoo anamaajabu gani sasa verse mbovu.Yes south african
Ila kwa best rapper in africa kuna msichana 1 th ambae ni shoo madjozi huyu akafie mbele kuna wanaosound vizuri zaidi yake
Basi sibishani na ww hufuatilii hip hop ya Africa ukonayo mbali siwezi kuku lazimisha kama unajua muziki kumzidi Jay z sawa.

bruh jay z ni nani Hio ni list yao sio yangu na africa mashariki kaingia mtu 1 tu mbae ni kaligraph jonesunani furahisha sana ww leo![]()
![]()
shoo anamaajabu gani sasa verse mbovu.
Nahisi wanaangalia how u rap sio maudhuiunani furahisha sana ww leo![]()
![]()
shoo anamaajabu gani sasa verse mbovu.

Yameisha siwezi kubishana na ww tena leo Rock Nation ni lebo ya nani kwani?bruh jay z ni nani
Halfu kafikaje hapa
Wacha mambo hizo sibishani kwanza
Ni vyema kama usingizi umekata, imenichukua muda mpaka kulizoea baridi la Mbeya nakunifanya niweze kushtuka usiku na kuingia lindoni.Tupo tuna shangaa hapa siaz.
leo ndio nimejua kuwa husikilizi music wa Africa hususa kwenye Hip Hop nimemaliza sitabishana na ww lakini shoo hamuwezi huyo dada show anajiimbia tu hata sound umeshindwa kunote mtu anavyo flow!Nahisi wanaangalia how u rap sio maudhui![]()
Label wazijue wasanii ndo wanakazi nazo mmYameisha siwezi kubishana na ww tena leo Rock Nation ni lebo ya nani kwani?
Kwenye hip-hop ujumbe ndio unao matter.Nahisi wanaangalia how u rap sio maudhui![]()
😆 😆 😆 😆 na ww upo mbeya!Ni vyema kama usingizi umekata, imenichukua muda mpaka kulizoea baridi la Mbeya nakunifanya niweze kushtuka usiku na kuingia lindoni.
Nina siku ya tatu hapa, nipo Kikazi mara moja...😆 😆 😆 😆 na ww upo mbeya!
maudhui ndio kila kitu kwenye sanaa.Kwenye hip-hop ujumbe ndio unao matter.
Hayo ya kuangalia jinsi unavyorap sijawahi sikia!
Sawa producerKwenye hip-hop ujumbe ndio unao matter.
Hayo ya kuangalia jinsi unavyorap sijawahi sikia!
Duh umenipa position tayari?!Sawa producer
Ndo maana kuna neno nahisi pale
The rest siyajui
Hata tukibishana hakuna anaefaidika sana tutachoshana,leo ndio nimejua kuwa husikilizi music wa Africa hususa kwenye Hip Hop nimemaliza sitabishana na ww lakini shoo hamuwezi huyo dada show anajiimbia tu hata sound umeshindwa kunote mtu anavyo flow!