Hujachelewa weka viatu pembeni ingia ulingoniLeo Naona Kuna ligi
POLEnajua underrated maana yake lakini nasty c sio underrated tutabishana mpaka kesho hapa.
naomba list ya best rapper 10 ya Africa tafuta kokote ukimkosa nasty c kwenye tano bora kuna chaten nakupa..POLE
Hapana meku, Mimi na ligi mbali kwa mbali, nawaachia wahusikaHujachelewa weka viatu pembeni ingia ulingoni
That doesnt mean hauko underratednaomba list ya best rapper 10 ya Africa tafuta kokote ukimkosa nasty c kwenye tano bora kuna chaten nakupa..
Cha ten chakuchora aunaomba list ya best rapper 10 ya Africa tafuta kokote ukimkosa nasty c kwenye tano bora kuna chaten nakupa..


Kijana unazingua sasa. Leo nimeshatunukiwa kitu kimoja kikubwa sana in my life. So I don't expect anything in return kuwa mlinzi shirikishi.Usijali utapata tuzo ya mfanyakazi bora na hundi ya 1m usd..
Chukua hizoHapo sawa ili tukae sawa

Basi sibishani na ww hufuatilii hip hop ya Africa ukonayo mbali siwezi kuku lazimisha kama unajua muziki kumzidi Jay z sawa.That doesnt mean hauko underrated
chora chini..Cha ten chakuchora au![]()
Unatamba sio?Kijana unazingua sasa. Leo nimeshatunukiwa kitu kimoja kikubwa sana in my life. So I don't expect anything in return kuwa mlinzi shirikishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gud niaje champ.Habari zenu walinzi imara wa lindo hili.
Na kwako pia.Watu wa MUNGU, wakati mwema nakutakieni