Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Was a gud song kwa mwaka huo nzuri uiskie ikipigwa na mwingine sio ww[emoji38]
Was a gud song kwa mwaka huo nzuri uiskie ikipigwa na mwingine sio ww[emoji38]
naipenda sana hii nyimbo.My fav song ukiachana na dirty diana
Kila siku ndio mfunga lindo. Sijawahi dodgeww mbona ulikimbia humu.
Kua rock nation ndo kuna maanisha hauko underrated?!nani kakuambia ni underrated yupo rock nation huyo.
Hizi sasa ndiyo mithili yakoMy fav song ukiachana na dirty diana
[emoji38]ukimaanisha nnHizi sasa ndiyo mithili yako
Michael jako [emoji1690]
yani MJ kaondoka music bado unamdai nasio yeye anaudai music..
Underrated nikimaanisha anachotoa na attention anayopata ni ndogo sananani kakuambia ni underrated yupo rock nation huyo.
Usijali utapata tuzo ya mfanyakazi bora na hundi ya 1m usd..
lebo kubwa hiyo sio WCB.Kua rock nation ndo kuna maanisha hauko underrated?!
Tuachie zile ngumu ngumu sisi [emoji1787][emoji1787][emoji38]ukimaanisha nn
Wcb ni ipilebo kubwa hiyo sio WCB.
Usipite mtupu mkuu, sema jamboNimepita kuwasalimia ndugu zangu.
Ah [emoji38] ngumu za kpop labdaTuachie zile ngumu ngumu sisi [emoji1787][emoji1787]
najua underrated maana yake lakini nasty c sio underrated tutabishana mpaka kesho hapa.Underrated nikimaanisha anachotoa na attention anayopata ni ndogo sana
Takataka hiyo..Wcb ni ipi
Hapo sawa ili tukae sawaAh [emoji38] ngumu za kpop labda