Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Nimetoka kwa mtaalamu narejea DarWasalimu mkuu, tupeane fursa za huko.
unataka?
Nimetoka kwa mtaalamu narejea DarWasalimu mkuu, tupeane fursa za huko.
Unajua wewe huna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna sehemu nimekusoma leo nimecheka sana.Nimetoka kwa mtaalamu narejea Dar
unataka?
[emoji1787][emoji1787]Muongo kwa status zile na nguo ile umetoka kwa mchepuko.Nilienda kwa Mganga ndo narudi now niende kwa Babu yako
😂😂Nimetoka kwa mtaalamu narejea Dar
unataka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimetoka kwa mtaalamu narejea Dar
unataka?
Usiende kwa mganga - Kassim MgangaNilienda kwa Mganga ndo narudi now niende kwa Babu yako
Mkuu leo nimepitia hicho kitabu nimeuelewa sana mstari wa 11[emoji23][emoji23]
Maisha bana sijui hata yana maana gani kama Mambo yenyewe ndo hivi..
Wacha aende nao ni watu pia[emoji28]Usiende kwa mganga - Kassim Mganga
😂 😂 😂 😂 😂Wet Dreams nimemuachia mwenyewe Stephen Chelu
😂 😂 😂 😂Sijakubali maana ndoto nyevu huambatana na mtoto mrembo. Sasa generator ambalo ni bati na vyuma kwa kweli inapaswa Stephen Chelu aje athibitishe.
UnaruhusiwaMkuu mkipanga kwenda naomba nishtue tafadhali.
Ujue we jamaa duh! Upo vizuri kwenye comedy.😂 😂 😂 😂
Mkuu hata mimi huwa sielewi ilitokeaje, labda nilikuwa na mood sana siku hiyo....
Halafu wewe drizzle na super villian siku za mbele nije kuwa mkuu wa wilaya au kibosile flani hivi halafu mfukue makaburi haya sijui nini nyevu, ntasweka wote rumande hamtakaa muamini yaani.😂😂😂 😂
Tukuachie nini?Tuko pamoja leo niachieni mimi
You are too Young to be left alone at this time of hour... ngoja uwe mkongweMniachie lindo,nyie mnaweza kulala tu
Kijana mimi niko lindoni kabla yakoYou are too Young to be left alone at this time of hour... ngoja uwe mkongwe