Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Ngoja nilale mzee wangu.Hivi unafikiri unakataaje? Hiyo inapangwa wiki nzima. Na sometimes mnaregister kabisa kama utashiriki. Na hujawahi kufika huko lazima ugangamale. Ila milima yao sio ya kitoto mzee.



