Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Nndio[emoji15][emoji15] kesho hii hii au?
Nndio[emoji15][emoji15] kesho hii hii au?
Morning site. Tulikuwa tunatafuta kwenye ile garden ya Afande Selleulishawahi kwenda Choma au Morning site?
[emoji38]minimum bet ni buku jero maximum ni 50k per gamekabisa hilo ndio game la saiz yetu [emoji38][emoji38][emoji38]
Nahiyo Phobia yako itakutesa sana maana kuna sehemu unapanda mlima mpaka goti linafika kwenye kifua kama unachuchumaa vile 😆 😆 😆[emoji38]nitakuvunja vunja ufe ww
[emoji849]nitalia kilio cha mbwa cocoNahiyo Phobia yako itakutesa sana maana kuna sehemu unapanda mlima mpaka goti linafika kwenye kifua kama unachuchumaa vile [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Choma ujawahi kwenda?Morning site. Tulikuwa tunatafuta kwenye ile garden ya Afande Selle
Hii inapendeza weekend. Si unaona Super Villain ana deadline ya kazi.Nndio
😆 😆 😆 😆 😆 hiyo hiyo inatosha kula kuku wa poster.[emoji38]minimum bet ni buku jero maximum ni 50k per game
Buku jero inatosha kukupa 20k[emoji38][emoji38]
Bado. Ipo sehemu gani maana inawezekana hilo jina ndio linanizinguaChoma ujawahi kwenda?
[emoji38][emoji38]kabisa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hiyo hiyo inatosha kula kuku wa poster.
Hakitakusaidia sasa wakati huo 😆 😆 😆[emoji849]nitalia kilio cha mbwa coco
Hana shida hapo tunaingia fasta masaaa3 tu hata after working hours[emoji12][emoji12]Hii inapendeza weekend. Si unaona Super Villain ana deadline ya kazi.
Nitakuannawaza kua leo ndo nakufa ila nitarudia tu kibishi maana kua kwenye peak ni raha kinomaHakitakusaidia sasa wakati huo [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Inategemea utapitia njia gani kuna ya mkuu wa mkoa na kilakala.Bado. Ipo sehemu gani maana inawezekana hilo jina ndio linanizingua
Kuna maajabu gani?Inategemea utapitia njia gani kuna ya mkuu wa mkoa na kilakala.
ee kila weekend unakula kwahela ya bet 😆 😆[emoji38][emoji38]kabisa
Ss kumbe tuwatajirishe wao tuee kila weekend unakula kwahela ya bet [emoji38] [emoji38]
😆😆😆 kwanza unaweza usiwe hata na hamu ya kula.Nitakuannawaza kua leo ndo bakufa ila nitarudia tu kibishi maana kua kwenye peak ni raha kinoma