Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Napajua vizuri sana kule kuna uzi gani sijui ule wa nature nilipost picha nyingi sana za mt uluguru.Mluguru mwingine ni huyu hapa@Super Villain
Atatupeleka tchenzema tukaenjoy nature
Napajua vizuri sana kule kuna uzi gani sijui ule wa nature nilipost picha nyingi sana za mt uluguru.Mluguru mwingine ni huyu hapa@Super Villain
Atatupeleka tchenzema tukaenjoy nature
Nimecheka sana. Huko harakati sana 😂😂😂Mluguru mwingine ni huyu hapa@Super Villain
Atatupeleka tchenzema tukaenjoy nature
Mnipeleke mbinguni kule ssNapajua vizuri sana kule kuna uzi gani sijui ule wa nature nilipost picha nyingi sana za mt uluguru.
Vegas unatolewa hadi upepo ukifanya mchezo.South Africa kuna sehemu inaitwa Suncity, I see utafikiri Las Vegas. Hayo madude kama yote
Nimecheka sana. Huko harakati sana![]()


ndo utupelekegee na sisi wanaharakatiGoddess na Super Villain mnapenda hiking? Kule juu ni noma. Hata huu mlima wa kwa mkuu wa mkoa. Ukiwa juu kuna hali ya hewa muruwa kabisa.Napajua vizuri sana kule kuna uzi gani sijui ule wa nature nilipost picha nyingi sana za mt uluguru.
Haina noma andaeni tu mazingira.ndo utupelekegee na sisi wanaharakati
wapi hapo nielekeze tukaishe saiz. 😁 😁 😁Ukikosa hapo ss unajua unatakiwa kuhamia wapi?!
ww tena nitakupeleka mbiguni kule lakini utaweza kupanda sasa kuna unajuaunavyozidi kupanda na temp inapungua jasho linakutoka lakini ni labaridi linakuwa ndio utaona maajabu hapo.Mnipeleke mbinguni kule ss
Black jackwapi hapo nielekeze tukaishe saiz.![]()
![]()
![]()
na wanaolijua kama sisi



Ndo kama hvyo kesho mapemaaaHaina noma andaeni tu mazingira.

ulishawahi kwenda Choma au Morning site?Goddess na Super Villain mnapenda hiking? Kule juu ni noma. Hata huu mlima wa kwa mkuu wa mkoa. Ukiwa juu kuna hali ya hewa muruwa kabisa.
Hali yangu niachie mwenyewe ila nitawezaww tena nitakupeleka mbiguni kule lakini utaweza kupanda sasa kuna unajuaunavyozidi kupanda na temp inapungua jasho linakutoka lakini ni labaridi linakuwa ndio utaona maajabu hapo.


kama ni ma tycoon waachie wenyewe hela zetu sisi nizamawazo tuachane nalo isiwetabu.Black jack
Game inarudisha pesa fasta na zaidi ni game nzuri kinoma wanacheza ma tycoon tuna wanaolijua kama sisi
![]()
Hii kitu natamani nirudie kufanya kwa mara ingine japo ilishanipa phobiaGoddess na Super Villain mnapenda hiking? Kule juu ni noma. Hata huu mlima wa kwa mkuu wa mkoa. Ukiwa juu kuna hali ya hewa muruwa kabisa.

Hamna sema tu ni game nzuri sana tukaendelee kubet premier bet zipokama ni ma tycoon waachie wenyewe hela zetu sisi nizamawazo tuachane nalo isiwetabu.
😆 😆 😆 maana mwili wangu unaujua kubeba mtu siwezi ndio maana natoa tahadhari mapemaHali yangu niachie mwenyewe ila nitaweza![]()
![]()
![]()
maana mwili wangu unaujua kubeba mtu siwezi ndio maana natoa tahadhari mapema
nitakuvunja vunja ufe wwkabisa hilo ndio game la saiz yetu 😆😆😆Hamna sema tu ni game nzuri sana tukaendelee kubet premier bet zipo
😳😳 kesho hii hii au?Ndo kama hvyo kesho mapemaaa![]()