Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Twenzetu ss tukapande milima na bodabodaNipo kamili bado. Moro kitambo halafu nina mzuka wa kupandisha ile milima![]()

Twenzetu ss tukapande milima na bodabodaNipo kamili bado. Moro kitambo halafu nina mzuka wa kupandisha ile milima![]()

Hayo makitu siyafigilii kabisa labda iwekwe kwenye chai ya maziwa au mishkaki. Hapo unichomoi kabisa.Huwa napenda inavyo washa na harufu yake.
Bado ujanishawishi ww sio kirahisi hivyo.😆😆😆Tatizo woga umekuzidi na hiyo misemo haina uhalisia. Madaraja mengine unayavuta ww mzee.
Kule bodaboda haifiki. Tunaicha kijiji cha pale chini ya mlima.Twenzetu ss tukapande milima na bodaboda![]()
😂😂😂 nani mshindi hapo?...FT.
Inafika mpaka juu ya mawingu mzee baba kule palipofunikwa na winguKule bodaboda haifiki. Tunaicha kijiji cha pale chini ya mlima.
😆 😆 😆 toka nipo O level ndio nimeanza huu upuuzi.Hayo makitu siyafigilii kabisa labda iwekwe kwenye chai ya maziwa au mishkaki. Hapo unichomoi kabisa.
Unaona sasa. Wewe ndio unaweka ugumu hapo. Itabidi siku nitenge muda nikupe counseling labda utaelewa somoBado ujanishawishi ww sio kirahisi hivyo.😆😆😆
Jua likizama nikumbushe nikupe jibu.nani mshindi hapo?
Michezo ya casino sasa hii ndio bahati nasibu.Last handView attachment 1469036
Bodaboda inaishia Bigwa 😂😂😂Inafika mpaka juu ya mawingu mzee baba kule palipofunikwa na wingu
Michezo ya casino sasa hii ndio bahati nasibu.
sema ukiujulia magoliUnapoteza muda wako kufanya hivyo.Unaona sasa. Wewe ndio unaweka ugumu hapo. Itabidi siku nitenge muda nikupe counseling labda utaelewa somo
Huu mtego hapa 😂😂😂Jua likizama nikumbushe nikupe jibu.
Mluguru mwingine ni huyu hapa Super VillainBodaboda inaishia Bigwa![]()
South Africa kuna sehemu inaitwa Suncity, I see utafikiri Las Vegas. Hayo madude kama yoteMichezo ya casino sasa hii ndio bahati nasibu.
sana ukitoboa ukiweka dau zuri unaweza ukaona huu usiku ni mchana.sema ukiujulia magoli
Hapa kama ni mgonjwa tunasema yupo kwenye denial stage 😀😀😀Unapoteza muda wako kufanya hivyo.
Ukikosa hapo ss unajua unatakiwa kuhamia wapi?!sana ukitoboa ukiweka dau zuri unaweza ukaona huu usiku ni mchana.