Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Si ndio zao. Au hujawahi kukutana nao mzee?π π π π π π π we mzee mifano yako bhana.
Si ndio zao. Au hujawahi kukutana nao mzee?π π π π π π π we mzee mifano yako bhana.
Noma baba.π π π π π pesa kitu chaajabu sana ujue.
Tukalale kesho tuwahi safari ya kingolwira![]()
![]()
![]()
![]()
pesa kitu chaajabu sana ujue.
Sijawahi kuishi na mwanamke lakini hizi huwa nazisikia kwa majirani π π π πSi ndio zao. Au hujawahi kukutana nao mzee?
kabisa mzee wangu.Noma baba.
Kuna vitu unaweza kufanya watu wakakuona wa ajabu lakini akifanya mwingine wanaona kawaida kabisa. Haya mambo ni perception zaidi.
Huu uchokonozi sasa ππππTukalale kesho tuwahi safari ya kingolwira
Haya tangulia sasa nakuja.Tukalale kesho tuwahi safari ya kingolwira
Mbona unajihami mzee πππ. Ndio maisha yetu tunaishi uswazi sio lazima ikutokeeSijawahi kuishi na mwanamke lakini hizi huwa nazisikia kwa majirani π π π π
Atangulie wewe unapajua?Haya tangulia sasa nakuja.
Unataka kugundua nini mzee?Nachokifanya hapa acha nakula Tangawizi mbichi na chumvi.
Jiandae tu na ww tukutane stand hakuna shidaHuu uchokonozi sasa![]()
wanasema tutavuka daraja au kupanda mlima pale tutakapo ufikia ππππMbona unajihami mzee πππ. Ndio maisha yetu tunaishi uswazi sio lazima ikutokee
OkiHaya tangulia sasa nakuja.
Huwa napenda inavyo washa na harufu yake.Unataka kugundua nini mzee?
Tatizo woga umekuzidi na hiyo misemo haina uhalisia. Madaraja mengine unayavuta ww mzee.wanasema tutavuka daraja au kupanda mlima pale tutakapo ufikia ππππ
Nipo kamili gado. Moro kitambo halafu nina mzuka wa kupandisha ile milima ππJiandae tu na ww tukutane stand hakuna shida
Naachaje kupajua sasa hilo jibu ni verified mzee.πAtangulie wewe unapajua?
imeisha hiyo.