Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Sina jinsi....yanipasa kuaga.Haya Rowin tuondoke sasa,turudi baadae.
Ulinzi mwema.
Sina jinsi....yanipasa kuaga.Haya Rowin tuondoke sasa,turudi baadae.
😆 😆 😆 😆 haya nimekuelewa hakuna shida....naomba tutoke huko...siko that deep...
Ngoja mm nifanye kazi yangu naona wote mmelala. uwe na usiku mwema.Sina jinsi....yanipasa kuaga.
Ulinzi mwema.
Jinga sana we jamaa 😂😂😂Ningefanya vizuri sana kwa wakati nisingeleta uvivu kabisa.
Anaogopa kuaga mapema tutamshtukia 😂😂😂Leo mkuu Super Villain kachoka mapema hahaa
😢 mm zimeniaharibikia usiku huu natumia earphones.Nimechelewa tu kusema...ila.zangu zimeanza kuzingua jana tu...
Tunashukuru kwa uwepo wako. Utatukuta ukiwa halftimeSina jinsi....yanipasa kuaga.
Ulinzi mwema.
Unalalaje sasa wakati nipo hapa. Nilikimbia coz nilikuwa na Zoom meeting ya half an hour. Now nimerejeaNgoja mm nifanye kazi yangu naona wote mmelala. uwe na usiku mwema.
Kazi yangu ya mwisho boss wangu alikuwa mzungu dah uvivu nilikuwa sina kabisa mchaka mchaka muda wote.Jinga sana we jamaa 😂😂😂
Haya dada twende 😍Unaniacha mwenyewe Dada yako?
Tuondoke wote nihakikishe umefika nyumbani salama
zoom wanapiga sana hela saiz na hii corona.Unalalaje sasa wakati nipo hapa. Nilikimbia coz nilikuwa na Zoom meeting ya half an hour. Now nimerejea
Safi sana. Inapenda sana kuwajibika bila excuses zisizo na mpango. Napenda sana kuwork under pressure sometimes.Kazi yangu ya mwisho boss wangu alikuwa mzungu dah uvivu nilikuwa sina kabisa mchaka mchaka muda wote.
Baba wacha kabisa. Kwa wiki tunaweza kuwa na meeting hata 4. Hawa jamaa nadhani wanatamani COVID-19 iendelee dadekizoom wanapiga sana hela saiz na hii corona.
Hayo mambo mm ndio huwa siyataki kabisa.Safi sana. Inapenda sana kuwajibika bila excuses zisizo na mpango. Napenda sana kuwork under pressure sometimes.
Mzee usiombe yaani. Unaweza kimbia kazi kama mwanamke aliyeachika na kusema kwani kwetu nilikuwa sili. Sasa hivi nashukuru napumzika sina kazi nzito kivileHayo mambo mm ndio huwa siyataki kabisa.
Hapa ndio ule msemo wakufa kufaana ndipo unapoingi sasa wakati wengineuchumi unashuka yeyeu napanda mwenzetu.Baba wacha kabisa. Kwa wiki tunaweza kuwa na meeting hata 4. Hawa jamaa nadhani wanatamani COVID-19 COVID-19 iendelee dadeki
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 we mzee mifano yako bhana.Mzee usiombe yaani. Unaweza kimbia kazi kama mwanamke aliyeachika6na kusema kwani kwetu nilikuwa sili. Sasa hivi nashukuru napumzika sina kazi nzito kivile
Kwani uwongo. Ni sawa na wewe unalia umefiwa muuza jeneza anakupigia mahesabu ya wewe kununua sanduku.Hapa ndio ule msemo wakufa kufaana ndipo unapoingi sasa wakati wengineuchumi unashuka yeyeu napanda mwenzetu.
😆 😆 😆 😆 😆 pesa kitu chaajabu sana ujue.Kwani uwongo. Ni sawa na wewe unalia umefiwa muuza jeneza anakupigia mahesabu ya wewe kununua sanduku.