Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
I see. Ungekuwa unafanya kazi ninayofanya mimi halafu kwa deadline ngumu sijui ingekuwajeAaah acha nipumzike mm 😆😆 kesho ni jumamosi naweza hata malizia kesho.
I see. Ungekuwa unafanya kazi ninayofanya mimi halafu kwa deadline ngumu sijui ingekuwajeAaah acha nipumzike mm 😆😆 kesho ni jumamosi naweza hata malizia kesho.
Ningefanya vizuri sana kwa wakati nisingeleta uvivu kabisa.I see. Ungekuwa unafanya kazi ninayofanya mimi halafu kwa deadline ngumu sijui ingekuwaje
Leo mkuu Super Villain kachoka mapema hahaaI see. Ungekuwa unafanya kazi ninayofanya mimi halafu kwa deadline ngumu sijui ingekuwaje
mzuka kabisa gud gud..Kabisa, vipi wewe?
Nilikuwa na panga Playlist yangu nasikitika sana headphones zimeharibika zina piga speaker moja tu 😢Leo mkuu Super Villain kachoka mapema hahaa
Zitoke wapi? Na hii Covid-19.Rowin nipe series basi?
Ulinzi mwemaTupo hapa tunalinda raia na mali zao
Unapenda kikapu au sio ya MJ?Zitoke wapi? Na hii Covid-19.
Niko napoteza mda hapa na The Last Dance
Unaniacha mwenyewe Dada yako?Ulinzi mwema
Lockdown haina adabu...sina jinsi...ila napenda kikapu...Unapenda kikapu au sio ya MJ?
Upo west au east?Lockdown haina adabu...sina jinsi...ila napenda kikapu...
Maswlai gani haya jamani....? Niko na Drizzle (akikanusha aibu kwangu) [emoji28][emoji28][emoji28]Upo west au east?
NBA ina pande mbili kuna team za West (15) na East (15) jumla ndio zinaleta team 30. swali ni ww unashabikia team kutoka west au east na niipi hiyo?Maswlai gani haya jamani....? Niko na Drizzle (akikanusha aibu kwangu) [emoji28][emoji28][emoji28]
Tabia yangu ni mbaya huwa nikiazima sirudishi 😆 😆 😆Pole mkuu asee muombe Rowin akuazime zake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...naomba tutoke huko...siko that deep...NBA ina pande mbili kuna team za West (15) na East (15) jumla ndio zinaleta team 30. swali ni ww unashabikia team kutoka west au east na niipi hiyo?
Nimechelewa tu kusema...ila.zangu zimeanza kuzingua jana tu...Tabia yangu ni mbaya huwa nikiazima sirudishi [emoji38] [emoji38] [emoji38]