Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Wazima kabisa hofu kwako uliye mbali na upeo wa machoNawasalimia walinzi
Wazima kabisa hofu kwako uliye mbali na upeo wa machoNawasalimia walinzi
Nipo kwa mkopo...ukiiisha napoteaRowin upo nakuona
😆 😆 😆 ni ndefu mno inachosha unaandika tu doc za kutosha nitaifanya kesho haina haraka hii.Cha muhimu umeelewa....
Shukrani kwa kuweka kazi pending...kwa ajili ya Lindo
Poa sana, hofu kwako dada mzuriMarahaba mdogo wangu.
Umeshindaje?
Kabisa, vipi wewe?Uko Vyedi ww?
Pamoja sana...![]()
![]()
ni ndefu mno inachosha unaandika tu doc za kutosha nitaifanya kesho haina haraka hii.
Wacha uvivu mzee😆 😆 😆 ni ndefu mno inachosha unaandika tu doc za kutosha nitaifanya kesho haina haraka hii.
Niko njema, natumaini huko ulipo pia uko vizuri..Wazima kabisa hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho
Kwangu Salama , nashukuru Mungu. Karibu LindoniPoa sana, hofu kwako dada mzuri
Naona ushaukataa hata kabla.Anza wewe kwanza...tujifunze kutoka kwako
Tupo hapa tunalinda raia na mali zaoNiko njema, natumaini huko ulipo pia uko vizuri..
Usiondoke bhana tukae lindo mkuuNipo kwa mkopo...ukiiisha napotea
Aaah acha nipumzike mm 😆😆 kesho ni jumamosi naweza hata malizia kesho.Wacha uvivu mzee
Anza basi....Naona ushaukataa hata kabla.
Nimekuchagua ww ndio uunzishe.Anza basi....