Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,389
Ndio nafika lindo hapa.
Namaanisha niliadimika kwa sababu ya usingiz.
Ndio nafika lindo hapa.
Mambo vipi brotherSaint Anne nakuona tu
Basi sio hizo nilizodhani.Hizo za makopakopa zilikuwa za vijiti ila hizo peremende hazina vijiti ni kama golori hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko poa kabisa mkuuMambo vipi brother
Ohh safi sana. Njoo tujumuike na mdogo wako Super Villain leo yupo hapa analisongesha.Ndio nafika lindo hapa.
Namaanisha niliadimika kwa sababu ya usingiz.
Mwenyekiti si ww bhana.Ohh safi sana. Njoo tujumuike na mdogo wako Super Villain leo yupo hapa analisongesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uwenyekiti umekujaje tena hapa [emoji23][emoji23]Mwenyekiti si ww bhana.
Sindio nafasi yako siku zote [emoji23][emoji23][emoji23]
Namuona.Ohh safi sana. Njoo tujumuike na mdogo wako Super Villain leo yupo hapa analisongesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi yangu kwa shughuli ipi hiyo?Sindio nafasi yako siku zote [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo age nilishapita muda [emoji17] nasingiziwa hizo tuhuma sio za kweli.Namuona.
Juzi naye walimsema kwamba anaota ndoto Nyevu[emoji3]
Leo kaona alinde lango ili kuclear hizo shutuma [emoji3][emoji3]Namuona.
Juzi naye walimsema kwamba anaota ndoto Nyevu[emoji3]
Siumechaguliwa ww na walinzi wote wa hapa kuwa ww ndio kiongozi wetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado miaka kama 3 hivi ndio utapita hiyo stageHiyo age nilishapita muda [emoji17] nasingiziwa hizo tuhuma sio za kweli.
Naelekea uzee tu saiz hakuna kingine [emoji17]
Uwenyekiti huu wa hapa kweli naukubali nalifikiri yale mambo yenu na mng'ato [emoji3][emoji3]Siumechaguliwa ww na walinzi wote wa hapa kuwa ww ndio kiongozi wetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Usikimbilie uzee, maana ukija haunaga hodi wewe mwenyewe automatically utajivua gambaNaelekea uzee tu saiz hakuna kingine [emoji17]
Nafasi yako si Ambassador [emoji23][emoji23]Uwenyekiti huu wa hapa kweli naukubali nalifikiri yale mambo yenu na mng'ato [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshakuja teyari.Usikimbilie uzee, maana ukija haunaga hodi wewe mwenyewe automatically utajivua gamba
Sent using Jamii Forums mobile app