JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

We bado sana, hata ukoko wa shingo haujakwisha [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua usinge ongea kabisa muulize simiss akuambie nimetoka ndevu niko na 16 age mapema sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiziachi huwa najina nabadilika uswailini kila mtu ananiita lake.
 
Ungejua usinge ongea kabisa muulize simiss akuambie nimetoka ndevu niko na 16 age mapema sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiziachi huwa najina nabadilika uswailini kila mtu ananiita lake.
Kwani ndevu ndio ukubwa au kuisha kwa ndoto nyevu? Kila mtu anajua ukisha balehe kuanzia age ya 14 kwa mtoto wa kiume lazima nywele zijae mwilini. So hiyo si excuse mzee [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom