Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Ataweza wapi [emoji23][emoji23][emoji23]. Hapo unabeba lawama za bure kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawezi vumilia shida huyo sio?
Umenikumbusha tulikuwa tunacheki pilau huko uboyzini. Kuna mwamba tumekaa nae nyuma kabisa ya darasa. Goma limekwisha tunashtukia tupo pale kwenye screen [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Sasa jiulize alifikaje ilhali hata hakunyanyuka.
Sent using Jamii Forums mobile app