MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,742
- 71,455
Daah ila Latinos wanajua kusapotiana acha kabisa! Hata kwenye ujinga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Melody tu na kile kispanish mwana kajikuta katisua tu kwenye maviwers anakula mpaka leo. [emoji91]
Daah ila Latinos wanajua kusapotiana acha kabisa! Hata kwenye ujinga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Melody tu na kile kispanish mwana kajikuta katisua tu kwenye maviwers anakula mpaka leo. [emoji91]
Vitu vya kawaida hivyo fahari ya macho hiyo [emoji23][emoji23][emoji23] lazima uone utoe ukungu kwanza maana unaweza vaa miwani mapema.Beach na wabongo wapi na wapi? Utashangaa tu boxer imetuna pale kunako kwa kuangalia tu misambwanda [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwana sijawahi kuzielewa harakati zake hata siku moja, kuna siku alitambaza likes kwenye page zaidi ya 20🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mwana usimtaje huwa anapita kama upepo nasubiria tu siku aongee chochote kitu basi.
Alikuwepo kwenye huu uzi mwanzoni kabisa, sasa sijui kaenda wapi!Simju huyu mtu hata mm sio mkongwe humu bado labda wakulungwa watakuwa wanamjua mm chenga hapa.
Muziki ni kitu cha ajabu sana huwa siachi kujiuliza hili swali maana nawashangaaga wale watu wanao penda masebe, bolingo nk.. sijui huwa wanapata hisia gani maana mm huwa hata sielewi kabisa wale watu.Daah ila Latinos wanajua kusapotiana acha kabisa! Hata kwenye ujinga [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Inawezekana hana keyboard kabisa huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anasambaza upendo kwa kulike tu chochote hata liwetusi kwake fulesh.Huyu mwana sijawahi kuzielewa harakati zake hata siku moja, kuna siku alitambaza likes kwenye page zaidi ya 20[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mm itafikia siku sitakuwepo watakuwepo wengine tunapeana shift hapa [emoji4]Alikuwepo kwenye huu uzi mwanzoni kabisa, sasa sijui kaenda wapi!
Hapo unambuka hivi hivi. Uboyzini siku ya disco lazima jamaa tupige tight, boxer, pensi then jeans. Hiyo yote kuogopa kuumbuka wakati wa kubambia.Vitu vya kawaida hivyo fahari ya macho hiyo [emoji23][emoji23][emoji23] lazima uone utoe ukungu kwanza maana unaweza vaa miwani mapema.
Inategemea na kipindi upo chalii muziki gani ulikuwa una hit.Muziki ni kitu cha ajabu sana huwa siachi kujiuliza hili swali maana nawashangaaga wale watu wanao penda masebe, bolingo nk.. sijui huwa wanapata hisia gani maana mm huwa hata sielewi kabisa wale watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwege sana wwHapo unambuka hivi hivi. Uboyzini siku ya disco lazima jamaa tupige tight, boxer, pensi then jeans. Hiyo yote kuogopa kuumbuka wakati wa kubambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
mm wanangu walikuwa wakisikiliza nyimbo za kizungu kina 2pac, Diddy, Nas,MJ,Rkelly nk.. ndio niliokuwa nasikia kipindi nakuwa kwahiyo na mm nikaanguka humo humo kwenye hip hop na Rnb.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyu umpeleke beach unaweza sababisha kesi ya ubakaji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwege sana ww
Akhsante sana
Ndio hivyo sasa. Kila kitu kinategemea na watu wanaokuzunguka. Nikikumbuka zile R&B na Hip hop old skulls nazimika kichizi. Akina mase, Jah rule, Ashanti, Shakira, TLB, B2M, etc...mm wanangu walikuwa wakisikiliza nyimbo za kizungu kina 2pac, Diddy, Nas,MJ,Rkelly nk.. ndio niliokuwa nasikia kipindi nakuwa kwahiyo na mm nikaanguka humo humo kwenye hip hop na Rnb.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawezi vumilia shida huyo sio?[emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyu umpeleke beach unaweza sababisha kesi ya ubakaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saiz utazisika kwenye simu yako hukuti hata redioni wakicheza hizo nyimbo muda umeenda sana TBTNdio hivyo sasa. Kila kitu kinategemea na watu wanaokuzunguka. Nikikumbuka zile R&B na Hip hop old skulls nazimika kichizi. Akina mase, Jah rule, Ashanti, Shakira, TLB, B2M, etc...
Sent using Jamii Forums mobile app