Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Hata wewe carba wakuniua namna hii kweli?Eeeh!!
Cc:kijana yule
Mali zake zaliwa huku kwa kisingizio cha ujirani
Hata wewe carba wakuniua namna hii kweli?Eeeh!!
Cc:kijana yule
Mali zake zaliwa huku kwa kisingizio cha ujirani
Eeeh!!
Cc:kijana yule
Mali zake zaliwa huku kwa kisingizio cha ujirani

Hahaha ujue katika majirani wote duniani nyie ni mfano wa kuigwa, vijana wa sasa wanasema mmefika level ya kutumia mswaki mmoja![]()






Hahaha hawa majirani raha sana, mpaka wanaalikana kuoga (wasisome hapa)![]()



Hawaoni hilo jiraniSasa niharibie kwa shemeji yako
Mbona unataka kumsababishia jirani yangu matatizo makubwa jamani
Hahaha palipo na jirani hua hapaharibiki neno, maandiko yanasisitiza kumpenda jirani kama "nafsi yako" na sio mumeo.Sasa niharibie kwa shemeji yako
Mbona unataka kumsababishia jirani yangu matatizo makubwa jamani

I appreciate ur kindness jirani!Soon nitarejea jirani yangu I will find you
carbamazepine hapo hata mimi nashangaa itakuwa amelala imetype si hivi kwa kutype vileHata wewe carba wakuniua namna hii kweli?
Hahaha sio yeye ni maandiko yanamuasa kua mkweli na hiyo kweli itamuweka huruHata wewe carba wakuniua namna hii kweli?

Ulale salama jirani yanguI appreciate ur kindness jirani!
Usiku wa manane mwemah
Hahaha we mkonyeze tu mkuu, kuwa makini, siku hizi wamekuja na style mpya ya kininja ya kupitia darini hawagongi tena mlangoni

Ngoja nimsubirie, wewe pumzika jirani yangu huyu carba nitamalizana naecarbamazepine hapo hata mimi nashangaa itakuwa amelala imetype si hivi kwa kutype vile
Wewe sio mtu mzuri kabisaHahaha sio yeye ni maandiko yanamuasa kua mkweli na hiyo kweli itamuweka huru![]()
Wallah, sijawahi kuchukia mtu awaye yeyote
Kwakweli hizi chuki sio za nchi hii

Halafu wanakana kama sio majirani wapenziHahaha hawa majirani raha sana, mpaka wanaalikana kuoga (wasisome hapa)![]()


Cc:baby wako yuleSasa niharibie kwa shemeji yako
Mbona unataka kumsababishia jirani yangu matatizo makubwa jamani


Yaani acha tu nimuite aje ajioneeHata wewe carba wakuniua namna hii kweli?
carbamazepine hapo hata mimi nashangaa itakuwa amelala imetype si hivi kwa kutype vile



Hahaha wanakana kwa maandishi lakini wamesahau mioyo nayo huongea na tunaishuhudiaHalafu wanakana kama sio majirani wapenzi![]()
