Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Aisee, ngoja nichunguze kwa makini huenda siku izi watekaji wameongezekaNaomba niwaage, kesho nitadumu zaidi
Muwe na uck mwema

Hahaha kumbe umemshtukia eeh, ujue wewe ni jirani ninayekuamini kuliko majirani wote dunianiUchochezi huo jje's

Ngoja na mimi niage niangalie kama ntasindikizwa na hutu tumaneno tutamuUlale salama mpenzi

AhahahaaaaaaHahaha kumbe umemshtukia eeh, ujue wewe ni jirani ninayekuamini kuliko majirani wote duniani![]()
![]()
![]()
Naona ulipitiwa naAhahahaaaaaa

jje's nimekumiss mno.Naomba niwaage, kesho nitadumu zaidi
Muwe na uck mwema
Mkuu, taratibu na huyu umbu langu, chozi lake hua linanipa hasira kuu, tafadhali ulete mahari kwanzajje's nimekumiss mno.

Mbona kaniambia ameona kivuli chako kikiwa kazini (kwenye chabo).Jirani Neybright

Mbona tumeyamaliza na huyu atakueleza yeyeMkuu, taratibu na huyu umbu langu, chozi lake hua linanipa hasira kuu, tafadhali ulete mahari kwanza![]()
![]()
Sikumuona aiseeh leo jirani mbona hakunishtua waki huoMbona kaniambia ameona kivuli chako kikiwa kazini (kwenye chabo).![]()

Halafu huyu Bundi tokea amekutembelea siku izi ndo anaelekea kuwa kuku kabisaThad wa ushahidi popote ulipo

Ahaah hapo sawaMbona tumeyamaliza na huyu atakueleza yeye
Ni mda sijamuona nijasikia kuna vitu mnafundishana tena mpo wawili tu we na ThadHalafu huyu Bundi tokea amekutembelea siku izi ndo anaelekea kuwa kuku kabisa![]()
