Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Wacha weeh, naona dalili za msema kweli kung'olewa kucha na meno ya showNgoja nimsubirie, wewe pumzika jirani yangu huyu carba nitamalizana nae
Eeh Mungu wake mnusuru

Wacha weeh, naona dalili za msema kweli kung'olewa kucha na meno ya showNgoja nimsubirie, wewe pumzika jirani yangu huyu carba nitamalizana nae

Mm nimelala nshaamkaPOPOOOOZ
Me & Dirty head we love you tooGuys love you all, ngoja nipumzike. Usiku mwema nyote.
(kingreza kumbe sio mchezo)
Saivi popoz wamelala yenye uvumilivu ni mabundi tu mkuuPOPOOOOZ
Ohooh niachie basi hata namba ili kesho ukija ni kuvaa tu moja kwa moja![]()
![]()

Saivi popoz wamelala yenye uvumilivu ni mabundi tu mkuu
Hello from this side. Where are you Manga ML Kichwa Kichafu
AmHello from this side. Where are you Manga ML Kichwa Kichafu

Bora unisaidie kuwaita wewe mwenye suti nyororo maana mie nimewaita na hii sauti yangu ya mkwaruzo wanajifanya hawanisikiiHello from this side. Where are you Manga ML Kichwa Kichafu
Kulikoni mpenzi mbona haraka namna hiyo?Naona leo bundi wote chalii
Nleterewa Nganengo
Neybright
Manga ML
jje's
Kichwa Kichafu
Gentries n.k
Mlale unono,mniote eeeh!
Mambo mambo ney??
Ha ha ha ha ha. Watakuja tu ,Hujambo wewe?Bora unisaidie kuwaita wewe mwenye suti nyororo maana mie nimewaita na hii sauti yangu ya mkwaruzo wanajifanya hawanisikii
Dr.kanambia nilale mapema ili nikue haraka 🙂🙂🙂🙂Kulikoni mpenzi mbona haraka namna hiyo?
Poa dear za masiku teleMambo mambo ney??