Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Kasema hakuamini tena, kasema amechoka kuona kila siku sketi mpya inagonga getini kwakoSikumuona aiseeh leo jirani mbona hakunishtua waki huo![]()
![]()
![]()

Kasema hakuamini tena, kasema amechoka kuona kila siku sketi mpya inagonga getini kwakoSikumuona aiseeh leo jirani mbona hakunishtua waki huo![]()
![]()
![]()

Yule ni jirani kipenzi amenivumilia mengi sana na ananisaidia mengi mno Neybright hawezi nifanyia hivi jiranKasema hakuamini tena, kasema amechoka kuona kila siku sketi mpya inagonga getini kwako![]()
Ohoooh hii ilikua ni janja ya nyani, ili angalau arudi akaishtukia, akasema bado anamalizia ile offer yako ya vinywaji
Yule ni jirani kipenzi amenivumilia mengi sana na ananisaidia mengi mno Neybright hawezi nifanyia hivi jiran

Kwa mikono miwili kabisa Thad mbona aliniaga akasema ana vitu muhimu kwako huko na sare ukampa yeye tuOhoooh hii ilikua ni janja ya nyani, ili angalau arudi akaishtukia, akasema bado anamalizia ile offer yako ya vinywaji![]()
Tafadhali mkuu, mrudishe tu hata kwa siku moja.
Hahaha huyu Thad mjanja sana, alinichomesha mahindi na sare zangu wala hakutoke, labda tumsubiri atoe jibu yuko wapiKwa mikono miwili kabisa Thad mbona aliniaga akasema ana vitu muhimu kwako huko na sare ukampa yeye tu

Hapana jamani, nipo kwenye ujenzi wa taifaNaona ulipitiwa na![]()
![]()
Au ulikua unamfaidisha jirani mpiga chabo![]()
![]()

Sasa tugombanishe na jirani yangu kipenziMbona kaniambia ameona kivuli chako kikiwa kazini (kwenye chabo).![]()
Hahaha wacha weehWanachonga sana juu ya ujirani wetu,
Hahaha ujue huyu jirani yako ana roho nzuri sana ya kusaidia mabintiSasa tugombanishe na jirani yangu kipenzi

Jirani kipenzi nashukuru sana maana unanisaidia mnoWanachonga sana juu ya ujirani wetu,
Kabisa nimefurahi kukuona jirani maana toka uanza safari zako za huku na kuleSasa tugombanishe na jirani yangu kipenzi
Hahaha na kweli jirani yako sio mchoyo wa msaada, mpaka chabo kakuruhusu kiroho safiJirani kipenzi nashukuru sana maana unanisaidia mno

Thad hebu njoo umchukue huyu ndugu yangu haraka hukuHahaha na kweli jirani yako sio mchoyo wa msaada, mpaka chabo kakuruhusu kiroho safi![]()
![]()

Eeeh!!Jirani kipenzi nashukuru sana maana unanisaidia mno



Hahaha ujue katika majirani wote duniani nyie ni mfano wa kuigwa, vijana wa sasa wanasema mmefika level ya kutumia mswaki mmoja

Hahaha hawa majirani raha sana, mpaka wanaalikana kuoga (wasisome hapa)Eeeh!!
Cc:kijana yule
Mali zake zaliwa huku kwa kisingizio cha ujirani

Soon nitarejea jirani yangu I will find youKabisa nimefurahi kukuona jirani maana toka uanza safari zako za huku na kule
Sasa niharibie kwa shemeji yakoHahaha na kweli jirani yako sio mchoyo wa msaada, mpaka chabo kakuruhusu kiroho safi![]()
![]()



