Mimi mzima boss wangu
Dini hairuhusuKunywa k vant
This is typical youIle mzee ilikuwa noma sana. Kila nikitafakari huwa naona maisha yalikuwa kipindi kile sio sasa. Mitaani ilikuwa full shangwe. Nilikuwa nawindwa kurudi home nikaoge. Lakini unaweza ukaomba usitafutwe jalamba liendelezwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Gonga coffeeD
Dini hairuhusu
[emoji2513]0017
Nzuri tu boss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] isee nimecheka sana. Sometimes ilikuwa kurudi home hadi niviziwe. Halafu unasubiriwa kuogeshwa.This is typical youView attachment 1463059
Lawama zote ziende kwa huyu mzaliwa wa leo Super Villain. Alihakikisha kwa juhudi zake sionekani kabisa humu ndani.Nzuri tu boss
Hatuonani
Wapi Stephen Chelu, Super Villain [emoji276]
Nipo hapa Minneapolis nawawakilisha kwenye maandamano hapa mpaka kielewe nakuambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu bwana Super Villain aliyenipumzisha hapa kwa muda, ajue kwamba leo nipo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] isee nimecheka sana. Sometimes ilikuwa kurudi home hadi niviziwe. Halafu unasubiriwa kuogeshwa.
Ila mzee nimemtesa sana kwa kumkata na viwembe. Alikuwa akifua nguo zangu asipo kagua mifukoni lazima ale wembe wa vidole.
Sent using Jamii Forums mobile app
What are findings?I learned about gambling. I learned about everything.
[emoji3529][emoji3531][emoji3532][emoji3530][emoji456]