JamiiForums Usiku wa manane
Karantini. - wcb
Screenshot_20200530_003300_com.shazam.android.jpg
 
Happy birthday @supervillain
Ahsante kwa kuja katika maisha yangu
Ahsante kwa kujali
Wanifahamu zaidi ya ninavyojifahamu
Ahsante kwa kuwa pale ninapohitaji mtu wa kuongea nae ya moyoni kabisa
Ahsante kwa kunipa furaha

Nataka uifurahie siku yako.. zaidi ya unavyohakikisha yna2 niwe na furaha.

Wewe Ni muhimu na Bora Sana kwangu.

Ahsante kwa kunielewa na uchizi wangu..Kuna muda najua nakukera ila ndiyo Basi tena Mimi ndiyo rafikiyo na shida yako..unipeleke kwa Nani thatha!!??

Yesu wetu akutunze mpendwa.. Nakupenda Sana ssssss akeeee..

God bless you.
Uache matani yako ya kuniambia Nina kisauti Kama Cha mtoto.. nimeanza tiz next time nakubonda

Cheers
thanks so much bado unaugomvi tu na sauti
 
Back
Top Bottom