Kisa cha kuturudisha nyuma ni nini? Au upo PlutoMuwe na Alhamis njema
Hahahaha, umeamkaje RafikiKisa cha kuturudisha nyuma ni nini? Au upo Pluto
🤣🤣🤣🤣 hii quarantine iishe tu sasa. Hadi siku nazisahau.Kisa cha kuturudisha nyuma ni nini? Au upo Pluto
😀 😀 😀 😀Ooh usiombe
[emoji3538][emoji2924][emoji1018]Silaha ziko wapi?
Shukrani mkuu, ngoja nichukue mshale. Ila ningepata manati ya kipago cha muarobaini ningepiga 2 in 1[emoji3538][emoji2924][emoji1018]
Dah umenikumbusha mbali kipago[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shukrani mkuu, ngoja nichukue mshale. Ila ningepata manati ya kipago cha muarobaini ningepiga 2 in 1
Sent using Jamii Forums mobile app