Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,400
- 29,339
Nilishawahi kujiepusha na sauti ya mtu kwa kumblock 😂😂😂Hakuna namna, kuna sauti zingine pona yangu ni kujiepusha nazo tu.
Yaani wewe naiona hamasa uliyonayo moyoni mwako ili ukamilishe adhma yako😀😀Sana, halafu na ujuzi unaongezeka maana ni laxima uhakikishe unatoa show kali ili usiabike so baada ya muda fulani unakuwa kontaa.
😂😂😂😂Matumizi mabaya ya viungo, mbinguni hatuendi na mwili.
Kuitawala bustani ya EdenMmeahidiwa nini mkijitunza.?
Dom kwa kipindi cha mvua iko poa hata wageni wakifika miezi kaa hiyo hawawezi kupata tabu. Ila kipindi cha kiangazi ndo michosho, unaweza panda gari ile unashula unajikuta una vimbi kama ulitembea kwa miguu vile...Sema kuna muda upepo wake unakuwa sio mbaya, ilikuwa march mwishoni mpaka April kule Makutupora upepo wake ulinitakatisha hadi nikatamani nisiondoke 😀
Vumbi lingine baya lipo Morogoro
Bado safari ndefuMara paap 45 hii hapa, mileages zinasoma mamia tu.![]()
Kuitawala bustani ya Eden
Hiyo kuchafuka kwenye hiace bora la Dom, usiombe lile la Moro...kitu chekunduu 😂Dom kwa kipindi cha mvua iko poa hata wageni wakifika miezi kaa hiyo hawawezi kupata tabu. Ila kipindi cha kiangazi ndo michosho, unaweza panda gari ile unashula unajikuta una vimbi kama ulitembea kwa miguu vile...
Kila mtu atumie wake vile anataka, wangu nautunza 😉Hebu tuitumie miili yetu tuifaidi, tutaumbwa upya.
Niliona, ila nikaamua kutembea na beat 😂Halafu sorry madame nilijua hiyo reply umeni'quote mimi, sijui ndo usingizi unaninyemelea upya..!
😀 😀 😀 😀Yaani wewe naiona hamasa uliyonayo moyoni mwako ili ukamilishe adhma yako😀😀
😀 😀 😀Niliona, ila nikaamua kutembea na beat 😂
Moro sina uzoefu napo huwa nikipita naona kile kidongo chekunduuu. Ni wazi show yake ni high class.Hiyo kuchafuka kwenye hiace bora la Dom, usiombe lile la Moro...kitu chekunduu 😂
Ooh usiombeMoro sina uzoefu napo huwa nikipita naona kile kidongo chekunduuu. Ni wazi show yake ni high class.