JamiiForums Usiku wa manane
Bado sijapata mkufunzi ila nakomaa ili siku nikipata mtu wa kunifundisha iwe rahisi zaidi.

Halafu kitu kinachonizingua sana ni scale, yaani naweza kupiga wimbo mzima kutoka kwenye chord za white keys pekeyake, kuchanganya na black note ni hadi labda nichore kwenye piano roll huku nikisikiliza ina sound vipi au na play only white notes kisha na transpose kwenye DAW ninayotumia.😀😀😀

Hamna kitu rahisi duniani aisee, sikuamini kama kubonyabonya hili dude linaweza kuwa gumu hivi😀😀😀😀
Utaweza tu mkuu
 
Dah kweli huko mbali mkuu, nilikuahidi notes nitakutumia PDF file baadae ambazo zitakuongoza vizuri tu
Shukrani mkuu, natumaini zitakuwa msaada.

Yaani siku nikijua fresh huyo girlfriend wangu atajuta. Kila siku nitakuwa namualika aje nimuimbie😀😀😀
 
Back
Top Bottom