JamiiForums Usiku wa manane
Shukrani mkuu, natumaini zitakuwa msaada.

Yaani siku nikijua fresh huyo girlfriend wangu atajuta. Kila siku nitakuwa namualika aje nimuimbie😀😀😀
Of course yes as a part of strengthening your relationship. Inajenga hisia flani hivi za kipekee sana
 
15907174183100.9816881752410791.jpg


Karibun ghahawa..
 
😀 😀 😀 😀
Huku lazima upauke aisee, ila ni mikoa mingi iko hivi.
Niliwahi fika longido, aisee...ni kama niko mvumi vile...
Sema kuna muda upepo wake unakuwa sio mbaya, ilikuwa march mwishoni mpaka April kule Makutupora upepo wake ulinitakatisha hadi nikatamani nisiondoke 😀

Vumbi lingine baya lipo Morogoro
 
Back
Top Bottom