Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,774
- 40,448
Mambo bado magumu.
Mambo bado magumu.
Shwari kabisa mkuu, vipi wewe u swalama?
Mkuu una magari mengi😀😀
Aisee Tz wagon ipo watu wanamagari bhanaAmna Mkuu Mbona used yapo(mtumba)
Unamjua hushpuppi?
Alaf Mbona hata huk Tz zipo Lamborghini,
Lamborghini Gallado nahisi, Kama 2/3 Hivi
Moja plate number inaishia CCC ingine imeandikwa sijui DELICA/NA
Au Nikuletee na pich
Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana mzeeWakuu leo pua yangu na kifua vinauma kinoma aisee....na hii corona basi hofu tupu![]()
Upo leo

Wagon ni nnAisee Tz wagon ipo watu wanamagari bhana![]()
Niaje hommie?
Hii ndiga Bongo ipo mzee wangu wala usibishe kabisa.
Shukran mzee, siku hizi hata ukipata homa ya kawaida lazima utawaza sijui ndo vorona ishawasha mitamboPole sana mzee
Lakini Mungu Ni mwema muda wote bila kujali tunapitia magumu kiasi gani.Mambo bado magumu.
Mapema sana mzeeUsiku mwema wakuu.
Pamoja mkuu, katuwakilishe huko dunia ya lala land.Usiku mwema wakuu.
Mercedes G wagon Brabus Namaanisha.Wagon ni nn
Ungemalizia maana wagon ni zingine kabisaMercedes G wagon Brabus Namaanisha.
Kabisa hofu lazima iwepo ukiumwa kidogo tu mafua unajua ni covid.Shukran mzee, siku hizi hata ukipata homa ya kawaida lazima utawaza sijui ndo vorona ishawasha mitambo