Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Haipo halafu kusema ipo bila evidence no story za vijiweniKwani tatizo liko wapi mbona barbus ya SSB ni ya 2020 na ushangai hilo?
Nipe evidence ya hio hellcat kemwanza halafu uendelee
Haipo halafu kusema ipo bila evidence no story za vijiweniKwani tatizo liko wapi mbona barbus ya SSB ni ya 2020 na ushangai hilo?
Sure aliojiwa clouds unakumbuka kumbeNdio Mkuu Namba B nadhan
Alihojiwa Five Gear clouds zamani kidgoNyingine Hii apa sijui ilikua inaenda wapi Sijui nje, Bongo hapo [emoji116] View attachment 1454553
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly Mkuu Dubai wanasema expensive cars ni Kama Ist huku kwetu zilivyojaaMashine zimenyooka sio mchezo, hapo ndo utagundua kuwa kuna wenye magari na wenye vyombo vya usafiri.
Kasema nani itakua hapahapa
NEXTMAN unalingine sema nikunyooshe tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haipo halafu kusema ipo bila evidence no story za vijiweni
Nipe evidence ya hio hellcat kemwanza halafu uendelee
Acha ubishi bhana hipo.Haipo halafu kusema ipo bila evidence no story za vijiweni
Nipe evidence ya hio hellcat kemwanza halafu uendelee
Nionesheee [emoji849] unajua mi sio mzungu nihadithiwe africa bado wanaishi kama manyani nikakubaliAcha ubishi bhana hipo.
Ulipotoa picha nipe link na mm nikaome hio garage yakisasa iko wapi?!NEXTMAN unalingine sema nikunyooshe tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1454555
Hell cat ipo unanichosha tu hapa mm siongei kitu ambacho sijui wala sina uwakika nacho ujue ulibisha Mercedes nimekuonesha hiyo juu hapo [emoji115]Nionesheee [emoji849] unajua mi sio mzungu nihadithiwe africa bado wanaishi kama manyani nikakubali
Mpaka nione
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo mm nimeedit sio acha ujinga ww siwezi kufanya huo ujinga lakini hivi vitu vipo watu wanavurugu ya magari ww.Ulipotoa picha nioe link na mm nikaome hio garage yakisasa iko wapi?!
Gari zingine sizielew
Umetubu sasa umekubali kuwa vyuma vipo ee acha na wazee wa migodi.Aaaaahh yani Mimi,
I think hii gar naipata hii nimewah iona
kweli bhana SLS Coupe ipo
Hiy ni yard ya bakhresa Aisee
Alaf DSF ni juz tuu Sahivi si DT
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu ni bakhresa kumbe tofauti na huyo leta mwingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo mm nimeedit sio acha ujinga ww siwezi kufanya huo ujinga lakini hivi vitu vipo watu wanavurugu ya magari ww.
Kwahiyo nimeedit sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani hilo kopo bei gani unajua tuanzie hapo kwanza?Lakini Ngojeni Nina doubt kidogo [emoji848][emoji848]
Na hii pich Sina imani Nay Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bakhresa huyo sio watu wa MigodiUmetubu sasa umekubali kuwa vyuma vipo ee acha na wazee wa migodi.