JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jumapili kuna sendoff ya corona lakini sasa sijui itafanyika ukumbi gani?
Huo mchezo bora waache aisee, m maana corona akiliona nyomi la watu ataanza kutokwa na udenda upya na kama alikuwa na mpnho wa kusepa anaeezabadili maamuzi.
Mambo kama haya yanayogusa maeneo nyeti si vyema kuyafanyia showoff..
 
Hapana Mkuu haip umeifananisha am sure [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona hii hellcat kunafala anaown ujue bongo hapa.
dodgeofficial-20200411-0001.jpeg
 
Huo mchezo bora waache aisee, m maana corona akiliona nyomi la watu ataanza kutokwa na udenda upya na kama alikuwa na mpnho wa kusepa anaeezabadili maamuzi.
Mambo kama haya yanayogusa maeneo nyeti si vyema kuyafanyia showoff..
Kwani wataalamu wa mambo hukuwasikia manguli wanakuambai hii ngoma tunaishi nayo lakini mwili utazoea na utatengeneza body immune ya kupambana na hii kitu lakini mpaka dunia iambukizwe kwa 70%
 
Tulia nikutafutie mzee Bongo kunawatu wanavurugu ww acha hizi mambo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kanunua Alaf kaipaki ndani [emoji38][emoji38]
ila hiy gari haipo wanyamwez tungeshaijua
Petrol Heads [emoji38]
Tulaewana tu taratibu taratibu acha tuoneshane makali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38] Acha tuu Mkuu
Sasa kun kama hiyo lakini 6 x 6 [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Ina matairi sita nyuma Manne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kanunua Alaf kaipaki ndani [emoji38][emoji38]
ila hiy gari haipo wanyamwez tungeshaijua
Petrol Heads [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Acha tuu Mkuu
Sasa kun kama hiyo lakini 6 x 6 [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Ina matairi sita nyuma Manne

Sent using Jamii Forums mobile app
6x6 niliona akimiliki tyga tu Bongo hakuna hapa labda Nija huko?
 
Kwani wataalamu wa mambo hukuwasikia manguli wanakuambai hii ngoma tunaishi nayo lakini mwili utazoea na utatengeneza body immune ya kupambana na hii kitu lakini mpaka dunia iambukizwe kwa 70%
Hapo sasa ni kazi kwetu kuimarisha kinga ya mwili maana ukiwa legelege huna bahati. Malimao yanaenda na bei kama ya apple.
 
Back
Top Bottom