Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,810
- 40,562
0030
Omarion- ice box š¼
Omarion- ice box š¼
Leo ndo nakuona humu ndaniKila usiku nakuona upo zamu ya usiku huwa naku zoom mara kibao
Halafu punguzeni ukuda wa kufuta futa reply zetu.Kila usiku nakuona upo zamu ya usiku huwa naku zoom mara kibao
š·0030
Omarion- ice box š¼
we jamaa unapenda ngumi ehhh??Halafu punguzeni ukuda wa kufuta futa reply zetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna kuna uwanja wa kuzichapa humu mbona hilo jukwaa silijui mm!we jamaa unapenda ngumi ehhh??
Wamezidisha ukuda siku hizi.ššwe jamaa unapenda ngumi ehhh??
Halafu punguzeni ukuda wa kufuta futa reply zetu.
we ndio maana ban hazikuishi ujue alafu huwa unalalamika sana ww ukipata adhabu yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulifanikiwa kujua ulifungiwa vipi?anabishana na mwenye nyumba Cookie
Mtu kaleta uzi unamuhusu Fatuma Karume.Pole sana kwa kuonewa na wakuda
Fuata sheria za JF, wakuda hawatafuta post zako
Ww shukuru mkono wao haufiki kwako.we ndio maana ban hazikuishi ujue alafu huwa unalalamika sana ww ukipata adhabu yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulifanikiwa kujua ulifungiwa vipi?
Sijawahi kukutana na tatizo lolote mm kuhusiana na hawa modWw shukuru mkono wao haufiki kwako.