😃😃😃 mpwa nakutimia sasa hivi pmMpwa pata kinywaji cha aina chochote araf ntumie no nilipe kwa mpesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo Roho nzuri!, Roho mbaya mwachie shetani..
We unanikwepa sana siku hizi, hope leo tupo detail moja? [emoji40][emoji40]Ndyo naingia lindo, i hope sijachelewa[emoji14]
Kuiba najua ss?!Mkuu usinisahau kwenye utajiri wako
Mambo CareemWe umanzikwepa sana siku hizi, hope leo tupo detail moja? [emoji40][emoji40]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Yupo sahihi ni wagon hiyoYeah Mercedes Benz G63 4x4
Lakini sio Brabus, Brabus ni Hiyo Nyeusi ingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusizeeshane bwana
Uko poa we mwanamke?Narudi....
Mi ni askari tena frontline mkuu😀Mkuu kumbe na wewe askari?
Perfect to duet Remix HiiEd Sheeran ft Beyonce I found love [emoji445][emoji445][emoji445]
G sini class tu ambayo almost kila kampuni wanayoSi hilo jekundu Ama?
If it is that hio sio Brabus
Ni Normal g63, Siunajua Brabus ni kampuni ya kulemba lemba tuu Magari (professionally nimesahau inaitwaje hio kaz)
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi, uko poa wewe?Mambo Careem
Huyu mdada yuko poa sana.Uko poa we mwanamke?
Okay Mkuu
Yeah Lokoo [emoji38] Afsa wa zamu akija kwa mda ake atapigaKumbe kuna Roll calls kabisa,ntakua nawahii
Am fine,thank you for asking, how is there too?
Gud tu ujalala mpaka saiz kesho naona hauna ratiba ya church [emoji17]Huyu mdada yuko poa sana.
Za Wikiendi?
Kwann masingle?Mida ya masingo....
Sent from my Nokia 2 using Tapatalk