Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Poa mzima ww? Basi karibu tukeshe nikupe nn kahawa na sukari au kahawa na maziwa ipi unapenda?Aisee nililala mchana, najuta usingizi umegoma kabisa.
Mambo Super V.!
Poa mzima ww? Basi karibu tukeshe nikupe nn kahawa na sukari au kahawa na maziwa ipi unapenda?Aisee nililala mchana, najuta usingizi umegoma kabisa.
Mambo Super V.!
Karibu lindoni mkuu, hapa hutojuta kupoteza usingizi wakoAisee nililala mchana, najuta usingizi umegoma kabisa.
Mambo Super V.!
Hahaa, uko vizuri hivi huwa unalala kweli, nakukutaga huku sana tuu duhPoa mzima ww? Basi karibu tukeshe nikupe nn kahawa na sukari au kahawa na maziwa ipi unapenda?
So ushaweka malezi ya kudumu hapo town?
Kabisa hakiibiwi kitu hapa nipo chumba cha camera (control room) naona kila mahali jengo zima kiujumla.Tuendelee kupeana zamu, ilimradi tuhakikishe jf na mali zake vina baki salama, tumeaminiwa sana
Huyu ndiye mlinzi mkuu, hapaswi kupata hata usingizi kidogoGoddess unalala saa ngapi mrembo wewe😜
Thank you, nimekaribia nipewe silaha tu niendeleze lindo😀Karibu lindoni mkuu, hapa hutojuta kupoteza usingizi wako
Nalala tena saiz ndio nimepunguza muda mwengine nalala saa 10 naamka saa 1 asubuhi 😔 ndio maana kamwili kangu hakaongezeki kilo 😔😔Hahaa, uko vizuri hivi huwa unalala kweli, nakukutaga huku sana tuu duh
Kwakweli siitaki tena nimetaadharishwa😐Kweli unataka supu?
Kumbe yeye ndiye CEO wa lindo, safi sana haina kufumba jicho hiyooHuyu ndiye mlinzi mkuu, hapaswi kupata hata usingizi kidogo
Endelea kutekeleza jukumu lako kwa ufanisi na umahiri mkubwa, kwani unategemewa sana hapa maana kuna watu wamefanya uwekezaji mkubwa sana hapa jfKabisa hakiibiwi kitu hapa nipo chumba cha camera (control room) naona kila mahali jengo zima kiujumla.
HapanaSo ushaweka malezi ya kudumu hapo town?
Njoo hapa tusogeze muda mbeleAisee nililala mchana, najuta usingizi umegoma kabisa.
Mambo Super V.!
I meant makazi. Naona zimeshaanza kuchukua nafasi lol😂Hapana
Kwakweli siitaki tena nimetaadharishwa![]()


Unamsikikiza huyo anaongea hapa pm anakuwa mpole sana akija kwangu usimtilie maanani huyo.Duh,shida ni nini unakua huna usingizi? Ama kuna vitu unafanya?Nalala tena saiz ndio nimepunguza muda mwengine nalala saa 10 naamka saa 1 asubuhi 😔 ndio maana kamwili kangu hakaongezeki kilo 😔😔
Goddess tafadhali mkabidhi silaha mlinzi na maelekezo muhimu ya kuzingatiaThank you, nimekaribia nipewe silaha tu niendeleze lindo😀
Hahaha muongo alisema atanipa supu kwasababu amependa kazi nzuri ya lindo niifanyayo