Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
IT team ni watu nimekuwa nao mzee ni friends na family pia najua kidogo tu [emoji23][emoji23] sio sana ndio maana hata ile avatar nili sketch mwenye zipo nyingi sana huko IG Adobe kazi yake.Niibie siri maana huyu dude Super Villain kazidi kujimwambafai