Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Subiria kuandika uzi ukikimbiwa [emoji23][emoji23]Tumekula yamini, kiapo kinafanya kazi
Subiria kuandika uzi ukikimbiwa [emoji23][emoji23]Tumekula yamini, kiapo kinafanya kazi
Am glad to hear that and Continue to love me unconditionally.Ila wewe mgumu mpenzi hela mpaka uje kutoa nimefanya kazi ya ziada ila nakupenda hivyohvyo
Limepita hilo [emoji39]Ukija kuchukua barakoa zako tutakuja kuyajenga
Na hautajuta mke wangu. Nataka yuijenge dunia ya kwetu peke yetuYani jamani dah! Sijutii kuwa na wewe[emoji8]
Shukran sanaPole mzee sio tatizo lako pekee yako.
Nimelala saa 4 nikaamka saa sitaUko macho tangia saa ngapi?
Na kwako pia ulale salama.Jamani nilikuwepo nawatakieni lindo njema
[emoji23][emoji23][emoji23] mm sijalala toka jana sasa si balaa.
Hapo huwezi kulala tena mpaka asubuhi, jitahidi mchana kuikeep mind yako busy hii itasaidia ikifika usiku mwili unakuwa umechoka na kuhitaji mapumziko. Kama hili ulishindwa nawe ni mtumiaji wa pombe, kunywa kiasi itakusaidia
MI mwenyewe najishangaa kweli sasa hivi, nakumbukia enzi flani somewhere kuspend days bila kulala 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] mm sijalala toka jana sasa si balaa.
Aisee wewe ni nooma[emoji23][emoji23][emoji23] mm sijalala toka jana sasa si balaa.
Asante sana kwa ushauriHapo huwezi kulala tena mpaka asubuhi, jitahidi mchana kuikeep mind yako busy hii itasaidia ikifika usiku mwili unakuwa umechoka na kuhitaji mapumziko. Kama hili ulishindwa nawe ni mtumiaji wa pombe, kunywa kiasi itakusaidia
Baby ulale unono, usingizi wako ukitawaliwa na njozi njema. Ila usije ukafumba jicho kabla ya kumrudishia Mungu shukrani kwa kukutunza leo na kuendelea kukupatia hii hewa adhimu ya 02.Jamani nilikuwepo nawatakieni lindo njema
Keep it up.
Mapumziko mema mkuuWalinzi wenzangu niwatakie lindo jema. Muda wa kuhand over umefika kwa mwenye detail ya ulinzi anayefuata