bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Hii keyboard yangu naona imeanzakuniletea zile swaga za kuandika matusi bila taarifa.
Naona settings zimefyatuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii keyboard yangu naona imeanzakuniletea zile swaga za kuandika matusi bila taarifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha nazingua sana hio mpaka niipate dayb nitapata wakusumbua
Dah basi sawa mkuu we utakuwa umesoma enzi za stadi za kazi na maarifa ya jamiiHata sijui ni hadithi gani hiyo mzee wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Elimu ya kibongo ni upuuzi tu stadi za kazi haijasaidia chochote tu.Dah basi sawa mkuu we utakuwa umesoma enzi za stadi za kazi na maarifa ya jamii
Wahenga tulisoma Sayansi kilimo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ah acha tu ni kupelekana pelekana tu uzee usogee[emoji23][emoji23][emoji23] Elimu ya kibongo ni upuuzi tu stadi za kazi haijasaidia chochote tu.
Ndiwooo jamaniHivi mrembo bado upo TA?
Awww[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Hahaha karibu sana juice ya tende mchanganyiko na limao, ushawahi kunywa weye?
Sijui kwanini waliiweka kwenye mtaala/sylabus😂[emoji23][emoji23][emoji23] Elimu ya kibongo ni upuuzi tu stadi za kazi haijasaidia chochote tu.
Kuwachanganya watoto tu na kuwabebesha daftari nyingi tu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ah acha tu ni kupelekana pelekana tu uzee usogee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri tuh dearSalama za kwako
Alafu kuna sehemu nilikuita ukala kona binti Sakayo. 🤔Awww[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ni ujinga ujinga aliyeleta wazo la lilesomo sijui alifikiri nn yeye [emoji17]Sijui kwanini waliiweka kwenye mtaala/sylabus[emoji23]
Will pay you a visit one dayNdiwooo jamani
Wapi huko tena jamani!!Alafu kuna sehemu nilikuita ukala kona binti Sakayo. [emoji848]
Karibu lindoni ur late [emoji4][emoji4]Nzuri tuh dear
Wapi huko tena jamani!Alafu kuna sehemu nilikuita ukala kona binti Sakayo. 🤔
Usingizi yaani nawahi kulala siku hiziKaribu lindoni ur late [emoji4][emoji4]
Will pay you a visit one dayNdiwooo jamani
Ndiwooo jamani
Nitakukumbusha tu wala usijari😊Wapi huko tena jamani!
Siwezi kukula kona mimi jamani