Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Yaani hata kupiga bati la jirani na mawe mwizi akimbie?!Yaani sina uwezo wa kutoka nje muda huu
Ukiangalia hapa majirani karibia wote ni wanawake .
Hakuna anayeweza kumsaidia mwenzake
Yaani hata kupiga bati la jirani na mawe mwizi akimbie?!Yaani sina uwezo wa kutoka nje muda huu
Ukiangalia hapa majirani karibia wote ni wanawake .
Hakuna anayeweza kumsaidia mwenzake
Ewaaaaa.....Haha nitakuja kukuamsha taratiiibu ili usikurupuke.
Eh mwizi tena?Kelele za mwizi na tunasikia vishindo
Nimeona, wape salamu zangu.
Hapana kwa kweli huku pamejificha mno .Yaani hata kupiga bati la jirani na mawe mwizi akimbie?!
Maana najua waweza kuwa unaota ndoto nzuri sasa ili nisikukatishe gafra I must do it gently. 😊😊Ewaaaaa.....
Mefurahi kujua hilo jamani..
Sijambo mkuuNimeona, wape salamu zangu.
AiseeeHapana kwa kweli huku pamejificha mno .
Wamekusikia mkuu. Nao wameifurahia kampuni yakoNimeona, wape salamu zangu.
Huwa wanatokea pande hizi mara moja mojaEh mwizi tena?
Maeneo gani huko kwenye hayo mambo ya wizi? Hayaajaishaga tu?!
AsanteAiseee
Pole kwa jirani
Usiniite mkuu, unataka kuninyima nini ?Sijambo mkuu
Yo very right...Maana najua waweza kuwa unaota ndoto nzuri sasa ili nisikukatishe gafra I must do it gently.![]()
Acha uoga, onesha support ya kamata miezi meeeen😂😂Hapana kwa kweli huku pamejificha mno .
Hujambo lakiniiiAsante
Ninacho baasiii cha kukunyima mkuuUsiniite mkuu, unataka kuninyima nini ?
Corona inatuvuruga kweli kweli. Yaani watu wanashindwa hata kuonana na wapendwa wao 😀😉Yo very right...
Tho na hili corona ndoto za mawenge mawenge tuu
Imejua kutunyoosha kwa kweli!Corona inatuvuruga kweli kweli. Yaani watu wanashindwa hata kuonana na wapendwa wao![]()
Kwahiyo nikiomba utanipa ?Ninacho baasiii cha kukunyima mkuu
Inategemea unaomba nini lakiniKwahiyo nikiomba utanipa ?