Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,579
- 5,792
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Mnafanya nini hapa mchana? Tawanyika haraka sana, sitaki kuona mtu akirandaranda hapa.
Sent using [emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Mnafanya nini hapa mchana? Tawanyika haraka sana, sitaki kuona mtu akirandaranda hapa.
Asante kwa kutujuza.Hivi sasa ni saa sita kamili usiku
Habari kwa ufupi,Hivi sasa ni saa sita kamili usiku
Karibu.00:00hrs
Tufungue lindo rasmi
Huu uteuzi kibokoHabari kwa ufupi,
Mama D ameteuliwa kuwa waziri ulinzi na usalama wa jamiiforums. Uteuzi huo umeanza saa hii hii.
Habari nyingine tafuteni na nyinyi kama ni rahisi, tusichoshane.
Salama za kwako
😂 😂 😂 😂
Nipo bwanaSometimes unaadimikaga na kuibuka gafla! [emoji3][emoji3]
Pamoja na majukumu uliyonayo usilisahau lindoNipo bwana
Majukumu[emoji38]