Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Yo welcome dear one!Will pay you a visit one day
Yo welcome dear one!Will pay you a visit one day
Yaani huu mtaa wetu hauna ujirani mwema hamna aliyetoka nje .Wapi huko tena jamani!
Siwezi kukula kona mimi jamani
HahahahahaWill pay you a visit one day
Nitakukumbusha tu wala usijari![]()
Haha leo umejitahidi kidogo mpaka muda huu.Usingizi yaani nawahi kulala siku hizi
Hata wewe hujatoka?!Yaani huu mtaa wetu hauna ujirani mwema hamna aliyetoka nje .
Haha leo umejitahidi kidogo mpaka muda huu.
Labda wao wanakuona umezeeka ila si mimiHahahahaha
Nikumbushe hebu, labda nazeeka ujue!!
Jamani...Labda wao wanakuona umezeeka ila si mimi
Sijatoka tumetulia ndani hata kwenda kuchungulia siweziHata wewe hujatoka?!
Aah mkuu tafadhali bhana does it sound like am a female?Naona leo lindo limeshikwa na watoto wa kike tupu. Ngoja niwaache tuone ubora wenu katika hii kazi.
Mbona una haraka sana sweetheart?Jamani...
Nikumbushe basi
HahahaahSijatoka tumetulia ndani hata kwenda kuchungulia siwezi
Sikukuona kaka, niwie radhi, si unajua nimtoka usingizini.Aah mkuu tafadhali bhana does it sound like am a female?
Najua nitasinzia mimi na wewe utaenda kula dakuMbona una haraka sweetheart?
Kuna nini huko mnapotaka kwenda kuchungilia nyinyi walinzi?Sijatoka tumetulia ndani hata kwenda kuchungulia siwezi
Yaani sina uwezo wa kutoka nje muda huuHahahaah
Wewe sio jirani mwema
Kelele za mwizi na tunasikia vishindoKuna nini huko mnapotaka kwenda kuchungilia nyinyi walinzi?
Haha nitakuja kukuamsha taratiiibu ili usikurupuke.Najua nitasinzia mimi na wewe utaenda kula daku