Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
[emoji38]we miyeyusho ujueCenter
[emoji38]we miyeyusho ujueCenter
Hivi kkoo watu wapo kweli maana kuna snap mmoja niliona imepostiwa humu ni nyeupe kabisa. [emoji15][emoji15]Ipi center au ile ya warembo kkoo
Umeelewa hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji38]we miyeyusho ujue
Wapo ila wamepungua saaaanaHivi kkoo watu wapo kweli maana kuna snap mmoja niliona imepostiwa humu ni nyeupe kabisa. [emoji15][emoji15]
Salama sakayo binti mrembo, habari za kuadimika lindoni?Nawasalimia tuu mimi jamani
Wamebaki watu wa frem tu au kama kawaida wale watu wa miyamvuli wapo nao?Wapo ila wamepungua saaaana
Haya mzee wangu uwe na usiku mwema.Nalala.
Home boy niaje?Cowboy
Ile snap ni ya kitambo sana. Siku hizi kkoo hakuna vibanda huu upande ambao picha imepigwa.Hivi kkoo watu wapo kweli maana kuna snap mmoja niliona imepostiwa humu ni nyeupe kabisa. [emoji15][emoji15]
Dah saiz nimateso tu mm naona maana kulala alafu uamke kula nikama ladha ya chakula inapotea kabisa. [emoji17]Home boy niaje?
Mda wa daku sheikh Wang karibu
I'm on that good kush and alcohol
mm mwenyewe nilishangaa nilivyoiyona ndio maana nimeuliza maana kkoo sijaenda toka corona imeingia Tz.Ile snap ni ya kitambo sana. Siku hizi kkoo hakuna vibanda huu upande ambao picha imepigwa.
Salama kabisaa mkuuPoa habari ya ww?
Asante sana jamaniZimeshafika mama.
hapana mkuu,Mzee hiyo avatar hapo juu ww ndio ulifanya huo ubunifu?
Niko poa sijui pande hizo?Salama kabisaa mkuu
Habari yako jamani
Salama kabisaa ndugu...Salama sakayo binti mrembo, habari za kuadimika lindoni?
[emoji23][emoji23][emoji23] Ulifanya uharifu tu kumbe.hapana mkuu,
mimi nilifanya ubunifu wa kugoogle tu
Huku salama kabisaaNiko poa sijui pande hizo?
Karibu nipo nasubiria mualiko wa daku tu kutoka kwa hawa ndugu zetu muslim na ww ni hivyo hivyo pia unasubira?Huku salama kabisaa