fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,006
Karibu sana, usiwe unapotea kiasi hicho..hata salamu tu inatoshaSalama kabisaa ndugu...
Habari za siku tele
Karibu sana, usiwe unapotea kiasi hicho..hata salamu tu inatoshaSalama kabisaa ndugu...
Habari za siku tele
M naowaona hata congo wanamwaga nguo japo sio sanaWamebaki watu wa frem tu au kama kawaida wale watu wa miyamvuli wapo nao?
Asante jamani...Karibu nipo nasubiria mualiko wa daku tu kutoka kwa hawa ndugu zetu muslim na ww ni hivyo hivyo pia unasubira?
Hahahahh kweli Mkuu unaweza ukala kdgo kiwai usingiz ila Ukishazoea kawaida tuuDah saiz nimateso tu mm naona maana kulala alafu uamke kula nikama ladha ya chakula inapotea kabisa.![]()
Haha kama wewe tu mkuu,Ulifanya uharifu tu kumbe.
Watu hela hawana pamoja na biashara inasuasua watu wanafanya hivyo hivyo iliwaishi.M naowaona hata congo wanamwaga nguo japo sio sana
JamaniKaribu sana, usiwe unapotea kiasi hicho..hata salamu tu inatosha
Sa kumbe wafanyeje ni stress tupuWatu hela hawana pamoja na biashara inasuasua watu wanafanya hivyo hivyo iliwaishi.
Hapa si daku ya V. I. P unavutwa tu ndani unaenda kutia hasara tu.Asante jamani...
Mimi sisubirii, naepuka mikusanyiko ujue!
Ukishalala kuamka hata kunywa maji tu ladha inakuwa tofauti sana.Hahahahh kweli Mkuu unaweza ukala kdgo kiwai usingiz ila Ukishazoea kawaida tuu
I'm on that good kush and alcohol
Bhana we tunaiba sana art work za watu sisi.Haha kama wewe tu mkuu,
uhalifu wa mitandaoni ni mwingi mwingine tunafanya bila kujua
Hakuna options sasa.Sa kumbe wafanyeje ni stress tupu
Shukran.Haya mzee wangu uwe na usiku mwema.

Umefanya vyema.Jamani
Ndo maana nikakuja kuwasalimia!!
Raia wamelala au ndo wameadimika

Yeah I knowU know am busy ryt?!![]()
Task ndo kama hio unaweza ifanya?!Yeah I know